-
Guterres ataka uchunguzi huru wa kushambuliwa meli za mafuta Bahari ya Oman
Jun 15, 2019 03:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa tukio la kushabuliwa meli za mafuta katika Bahari ya Oman.
-
Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo
Jun 15, 2019 00:11Gazeti la Al-Quds Al-Arabi linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa, baadhi ya pande katika eneo la Asia Magharibi hususan Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel, zinahusika kushadidisha migogoro katika eneo.
-
Taasisi ya kigaidi ya CENTCOM yakiri kuwa Marekani haina uwezo wa kukabiliana kijeshi na Iran
Jun 14, 2019 07:44Msemaji wa komandi ya kigaidi ya askari wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM) sambamba na kuashiria kwamba Washington haina nia yoyote ya kuanzisha vita katika eneo, amekiri kwamba kukabiliana kijeshi na Iran sio kwa maslahi ya Marekani.
-
Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran
Jun 13, 2019 06:50Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.
-
Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya
Jun 13, 2019 02:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan ameyataja mazungumzo ya Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abe Shinzō kuwa yalikuwa chanya na yenye faida.
-
Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan
Jun 12, 2019 23:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hamu iliyodhihirishwa na Japan ya kutaka kuwekeza katika maeneo ya kusini mwa Iran inadhamini suala la kustawisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Jun 12, 2019 03:38Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar akiwa safarini nchini Uingereza amesema: "Saudi Arabia ni nguvu ya uharibifu katika eneo lote la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) na Afrika."
-
Zarif: Imarati inajaribu kuwa Israel ya pili katika Mashariki ya Kati
Jun 12, 2019 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na televisheni ya al Arabi kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia mabilioni ya dola kununua silaha huku ukifanya jitihada za kujaribu kuwa Israel ya pili katika eneo.
-
Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 10, 2019 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."
-
Qatar: Saudia na Imarati zinachochea ugaidi na taharuki katika eneo
Jun 10, 2019 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman Aal Thani amesema sera za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabi zinashadidisha ugaidi na kuchochea taharuki katika eneo la Asia Magharibi na barani Afrika.