Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • JCPOA ya staili ya Ulaya ya kumridhisha na kumhudumia Trump

    JCPOA ya staili ya Ulaya ya kumridhisha na kumhudumia Trump

    Apr 04, 2019 03:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa makombora wa Iran ni aina mojawapo ya kukwamisha mambo na kufanya yale yanayoipendeza na kuiridhisha Marekani.

  • Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani

    Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani

    Apr 03, 2019 23:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi za Ulaya hazina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Kazi ya msingi sasa ni kuwafidia waathirika wa mafuriko na ukarabati

    Kiongozi wa Mapinduzi: Kazi ya msingi sasa ni kuwafidia waathirika wa mafuriko na ukarabati

    Apr 03, 2019 11:05

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewasisitizia wakuu wa nchi kuwa kazi muhimu sasa ni ukarabati na ujenzi mpya wa maeneo yaliyoharibiwa katika mafuriko yalioyokumba maeneo mengi ya Iran na pia kuwalipa fidia waathirika.

  • UN yataka misaada ya kibinadamu iondolewe katika vikwazo dhidi ya Iran

    UN yataka misaada ya kibinadamu iondolewe katika vikwazo dhidi ya Iran

    Apr 03, 2019 10:25

    Mkuu wa Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kueleza kusikitishwa kwake na taathira hasi za mafuriko yaliyoua makumi ya watu nchini Iran, ametoa mwito wa kuondolewa misaada ya kibinadamu katika orodha ya vikwazo dhidi ya taifa hili.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Apr 03, 2019 10:20

    Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amethibitisha kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran yataka kuchukuliwe hatua za kukabiliana na waenezaji wa fikra ya ukufurishaji

    Iran yataka kuchukuliwe hatua za kukabiliana na waenezaji wa fikra ya ukufurishaji

    Apr 03, 2019 03:01

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa msimamo mmoja na madhubuti wa dunia dhidi ya waenezaji wa fikra za ukufurishaji katika maeneo mbalimbali ya ulimwengu.

  • Kiongozi Muadhamu: Hatua za lazima zichukuliwe ili kutatua matatizo ya waathiriwa mafuriko ya Iran

    Kiongozi Muadhamu: Hatua za lazima zichukuliwe ili kutatua matatizo ya waathiriwa mafuriko ya Iran

    Apr 02, 2019 22:32

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ufikishaji huduma, kuweko uratibu katika sekta mbalimbali, hamasa ya kusaidia na moyo wa Kibasiji wa wananchi katika matukio ya mafuriko ya hivi karibuni hapa nchini ni mambo yaliyoonekana wazi katika mikoa kadhaa, lakini bado kuna haja ya kuchukuliwa hatua za lazima na kuendelezwa umakini mkubwa zaidi ili kuhakikisha kwamba, matatizo na machungu ya waathiriwa wa mafuriko hayo yanaondolewa.

  • Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran

    Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran

    Apr 02, 2019 20:47

    Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, hakuna mfumo wowote mpya katika eneo la Asia Magharibi unaoweza kuipuuza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kama ambavyo hauwezi pia kufumbia macho umuhimu wa taifa la Iraq.

  • Qassemi: Marekani imezuia misaada ya kibinadamu kuwafikia wahanga wa mafuriko nchini Iran

    Qassemi: Marekani imezuia misaada ya kibinadamu kuwafikia wahanga wa mafuriko nchini Iran

    Apr 02, 2019 09:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bahram Qassemi, amesema kuwa Marekani imefunga akaunti za Shirika la Hilali Nyekundu hatua ambayo ina maana ya kufunga mlango wa kutumwa misaada ya nchi tofauti za dunia kwa waathirika wa mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Iran.

  • Kutosalimu amri katu taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Kutosalimu amri katu taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Apr 01, 2019 20:22

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kwa hatua zilizo dhidi ya Iran za Rais Donald Trump na kusema kuwa, Wairani katu hatawasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS