Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kujihami kutakatifuu, siri na ufunguo wa kushinda njama zote za adui

    Kujihami kutakatifuu, siri na ufunguo wa kushinda njama zote za adui

    Sep 27, 2018 07:07

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kumbukumbu za wapiganaji wa Kiislamu katika kipindi cha vita vya kujihami kutakatifu na familia zao ni hazina kubwa isiyo na mbadala na rasilimali ya taifa la Iran.

  • Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo

    Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo

    Sep 27, 2018 03:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haitojali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na itaendeleza ushirikiano wake na Tehran kama kawaida.

  • Rais Rouhani afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa UN; wajadili JCPOA, Syria na Yemen

    Rais Rouhani afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa UN; wajadili JCPOA, Syria na Yemen

    Sep 27, 2018 01:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamefanya mazungumzo mjini New York ambapo wamejadili masuala mbalimbali yakiwemo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mgogoro wa Syria na vita vya Yemen.

  • Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump

    Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump

    Sep 26, 2018 10:49

    Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema Uturuki itaendelea kununua gesi kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vikwazo na vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Watoto wa Nigeria wamuomboleza mtoto aliyeuawa shahidi katika shambulizi la Ahvaz

    Watoto wa Nigeria wamuomboleza mtoto aliyeuawa shahidi katika shambulizi la Ahvaz

    Sep 25, 2018 04:44

    Kikundi kimoja cha watoto kimefanya matembezi ya amani katika mji mkuu wa Nigeria Abuja, kumkumbuka na kumuenzi mtoto wa miaka minne aliyeuawa shahidi katika shambulizi la kigadi la Ahvaz, kusini magharibi mwa Iran.

  • EU kuunda 'chombo maalumu' cha kufanikisha biashara na Iran

    EU kuunda 'chombo maalumu' cha kufanikisha biashara na Iran

    Sep 25, 2018 04:36

    Nchi zilizosalia kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA zimeazimia kuunda 'chombo maalumu' kitakachofanikisha mabadilishano ya kibiashara na Tehran kama sehemu moja ya kuyanusuru mapatano hayo yaliyotiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria.

  • Baraza la Usalama laitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran kupambana na ugaidi

    Baraza la Usalama laitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran kupambana na ugaidi

    Sep 25, 2018 04:31

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito kwa jamii ya kimataifa kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika vita dhidi ya ugaidi, sambamba na kuhakikisha kuwa serikali ya Tehran inawakamata na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa shambulizi la kikatili la Ahvaz.

  • Rouhani: Iran inawafahamu wahusika wa shambulio la Ahvaz, itawafuatilia

    Rouhani: Iran inawafahamu wahusika wa shambulio la Ahvaz, itawafuatilia

    Sep 23, 2018 04:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linawafahamu wahusika wa shambulio la jana la kigaidi mjini Ahvaz, na lina haki ya kuwafuatilia na kuwawajibisha.

  • Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la kigaidi la Ahvaz Iran

    Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la kigaidi la Ahvaz Iran

    Sep 23, 2018 04:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu kusini magharibi mwa Iran.

  • Hujuma ya kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran

    Hujuma ya kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran

    Sep 22, 2018 04:45

    Magaidi wametekeleza hujuma ya kigaidi wakati wa kufanyika gwaride ya majeshi ya Iran katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS