• Araghchi: Kuna ushahidi unaowahusisha magaidi wa Mossad na vurugu za mauaji zilizofanywa Iran

    Araghchi: Kuna ushahidi unaowahusisha magaidi wa Mossad na vurugu za mauaji zilizofanywa Iran

    Jan 12, 2026 03:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, kuna ushahidi wa wazi unaohusisha vurugu za mauaji zilizofanywa hapa nchini na magaidi wenye mfungamano na shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel, Mossad.

  • Pezeshkian: Waliofanya fujo na machafuko Iran si wananchi; ni magaidi kutoka nje

    Pezeshkian: Waliofanya fujo na machafuko Iran si wananchi; ni magaidi kutoka nje

    Jan 11, 2026 23:45

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui amewaingiza Iran magaidi waliopewa mafunzo maalumu ya kigaidi ili kufanikisha malengo yake na kwamba waliofanya fujo, machafuko na uharibifu katika kona mbalimbali za Iran, si katika wananchi waliokuwa wanaandamana.

  • Waziri Araghchi aanika nafasi ya Marekani, Israel katika ghasia za Iran

    Waziri Araghchi aanika nafasi ya Marekani, Israel katika ghasia za Iran

    Jan 11, 2026 03:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amezionya vikali Marekani na utawala haramu wa Israel juu ya matokeo mabaya ya uchochezi na uungaji mkono wao kwa wafanya fujo na wazua rabsha hapa nchini, akisisitiza kuwa Washington na Tel Aviv zinataka kuyageuza maandamano ya kiuchumi ya wananchi wa Iran kuwa machafuko na ghasia.

  • Wairani kufanya maandamano kote nchini kupinga ghasia na fujo

    Wairani kufanya maandamano kote nchini kupinga ghasia na fujo

    Jan 11, 2026 03:06

    Baraza la Uratibu wa Uenezi wa Kiislamu la Iran limetangaza kuwa, wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu kesho Jumatatu watafanya maandamano katika pembe zote za nchi kulaani ghasia na fujo zilizochochewa hapa nchini na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Marekani inahusika katika kugeuza maandamano ya amani kuwa machafuko nchini Iran

    Marekani inahusika katika kugeuza maandamano ya amani kuwa machafuko nchini Iran

    Jan 10, 2026 05:52

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Bw. Amir-Saeid Iravani katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la umoja huo akisema Marekani imeyageuza malalamiko na maandamano ya amani ya wananchi wa Iran kuwa ghasia na machafuko.

  • Araqchi: Teknolojia haiwezi kuangamizwa kupitia mashambulizi

    Araqchi: Teknolojia haiwezi kuangamizwa kupitia mashambulizi

    Jan 10, 2026 00:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran vinavyofanya kazi kwa malengo ya kiraia katika vita vya siku 12 na kusema baadhi ya majengo, taasisi na suhula za nyuklia zinazotumika kwa malengo ya amani za Iran zilidhurika hata hivyo teknolojia haiweza kuangamizwa kupitia mashambulizi.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Waandamanaji watajitenga na wachache wanaovuruga amani

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Waandamanaji watajitenga na wachache wanaovuruga amani

    Jan 09, 2026 09:40

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran, Hujjatul Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu Torabi Fard amesema, waandamanaji waelewa na wenye ghera ya uhuru na mamlaka imara ya nchi watatenganisha njia yao na ya wachache wanaoitakia mabaya nchi, wafanyao vitendo vya ukatili na kuvuruga nidhamu ya jamii; na hilo ni jambo lenye ulazima usioweza kuepukika.

  • "Handala" yafichua operesheni za MOSSAD ndani ya Iran

    Jan 09, 2026 02:53

    Kundi moja la kutetea Palestina linalofahamika kwa jina la Handala limefichua utambulisho wa Mehrdad Rahimi, mtu anayeelezwa kuwa afisa wa kusimamia na kuendesha operesheni za maajenti wa shirika la kijasusi la Israel la Mossad hapa nchini Iran.

  • Araghchi: Iran inaunga mkono umoja wa kitaifa wa Lebanon

    Araghchi: Iran inaunga mkono umoja wa kitaifa wa Lebanon

    Jan 08, 2026 23:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imeiunga mkono na itaendelea kuinga mkono Lebanon, umoja wa kitaifa, uhuru na mamlaka ya kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ustawi wa uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati 2025, sababu na matunda yake

    Ustawi wa uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati 2025, sababu na matunda yake

    Jan 08, 2026 22:51

    Uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati ulistawi sana katika mwaka uliopita waw 2025 na kuna sababu mbalimbali zilizopelekea kushuhudiwa jambo hilo lenye manufaa mengi.