Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah

    Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah

    Aug 22, 2018 21:09

    Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika bunge la Lebanon amesema, rais wa Syria hakulikubali pendekezo la Saudi Arabia la kuijenga upya nchi hiyo mkabala wa Syria kuvunja uhusiano wake na Hizbullah na Iran.

  • Balozi: Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Kenya kinaweza kufikia dola milioni 500

    Balozi: Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Kenya kinaweza kufikia dola milioni 500

    Aug 22, 2018 09:58

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema: kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Tehran na Nairobi kinaweza kuongezeka na kufikia dola milioni 500.

  • Kutokuwa halali vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Kutokuwa halali vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Aug 22, 2018 03:32

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu ametahadharisha kuhusianja na kuenea vita vya kiuchumi ulimwenguni na kusema kuwa, hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo tena Iran si halali kisheria, ya kidhalimu na ina madhara.

  • Ayatullah Amoli Larijani:  Marekani haiwezi kukariri mapinduzdi ya Mordad 28 nchini Iran

    Ayatullah Amoli Larijani: Marekani haiwezi kukariri mapinduzdi ya Mordad 28 nchini Iran

    Aug 20, 2018 22:14

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mapinduzi ya Marekani ya Mordad 28 (Agosti 1953) hapa nchini na kusisitiza kwamba, mara hii taifa la Iran litatoa pigo kali kwa maadui.

  • Rais wa Iraq: Uhusiano wa Tehran na Baghdad ni mzuri

    Rais wa Iraq: Uhusiano wa Tehran na Baghdad ni mzuri

    Aug 19, 2018 23:25

    Rais wa Iraq amevitaja vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni kwa madhara ya serikali na wananchi wa Iraq.

  • Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Aug 19, 2018 00:01

    Katika kipindi chote cha miaka 40 ya kuasisiwa mfumo wa Jamhuriya Kiislamu nchini Iran, Marekani daima imekuwa ikifuatilia na kutoa tuhuma maalumu na zisizo na msingi dhidi ya taifa la Iran.

  • Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Aug 17, 2018 23:44

    Serikali ya Marekani imezitishia tena kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta kutoka Iran ikiwemo China.

  • Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tumeunda makombora ya kisasa kulingana na vitisho vya adui

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tumeunda makombora ya kisasa kulingana na vitisho vya adui

    Aug 17, 2018 10:46

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema, zimeundwa zana, makombora na mifumo ya kiulinzi ya kisasa nchini kulingana na vitisho vya adui na akasisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haianzishi vita lakini ina uwezo mzuri sana wa kujihami na yeyote atakayeichokoza atajuta.

  • Zarif: Marekani imejitakia yenyewe kutengwa kimataifa baada ya kujitoa katika JCPOA

    Zarif: Marekani imejitakia yenyewe kutengwa kimataifa baada ya kujitoa katika JCPOA

    Aug 16, 2018 03:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani imejitakia yenyewe kutengwa kimataifa baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia na Iran.

  • China: Hatutasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuihusu Iran

    China: Hatutasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuihusu Iran

    Aug 14, 2018 10:31

    Mkuu wa Shirikisho la Sekta ya Mafuta na Bidhaa za Kemikali nchini China amesema kuwa, Beijing haina nia ya kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kutekeleza vikwazo vya upande mmoja vya Washington dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS