Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Pezeshkian: Mazungumzo hayana maana ikiwa vikwazo vitarejeshwa

    Rais Pezeshkian: Mazungumzo hayana maana ikiwa vikwazo vitarejeshwa

    Sep 25, 2025 23:01

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa mazungumzo ya kidiplomasia hayatakuwa na maana iwapo kundi la nchi tatu za Ulaya E3 linaloundwa na Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zitarejesha tena vikwazo dhidi ya Tehran.

  • Iran yaonyesha taswira za ndani ya kinu cha nyuklia cha Israel, taarifa nyeti za wanasayansi na wataalamu 189 wa kijeshi

    Iran yaonyesha taswira za ndani ya kinu cha nyuklia cha Israel, taarifa nyeti za wanasayansi na wataalamu 189 wa kijeshi

    Sep 25, 2025 03:33

    Kwa mara ya kwanza, Wizara ya Usalama ya Iran imeonyesha hadharani picha na taswira nyeti za ndani ya kinu cha nyuklia cha Dimona cha utawala wa kizayuni wa Israel.

  • Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO

    Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO

    Sep 25, 2025 00:10

    Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo linalodhihirisha kuwa makabiliano yanayoweza kutokea ni ya mpambano dhidi ya "ubeberu wa kimataifa."

  • Pezeshkian: Jithada za kuzuia uhusiano mwema kati ya nchi za Kiislamu hazitafanikiwa

    Pezeshkian: Jithada za kuzuia uhusiano mwema kati ya nchi za Kiislamu hazitafanikiwa

    Sep 23, 2025 08:27

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jitihada za maadui za kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya nchi za Kiislamu; na kushindwa kuasisiwa uhusiano wenye matunda katika eneo hasa kati ya Iran na Jamhuri ya Azerbaijan.

  • Iran yaanza mwaka mpya wa masomo kwa kuwaenzi wanafunzi 34 waliouawa katika uvamizi wa Israel

    Iran yaanza mwaka mpya wa masomo kwa kuwaenzi wanafunzi 34 waliouawa katika uvamizi wa Israel

    Sep 23, 2025 08:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewaenzi wanafunzi 34 waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kichokozi ya Israell dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka huu sambamba na kuanza mwaka wa masomo hapa nchini wa 1404-1405 kulingana na kalenda ya Iran ya hijria shamsia.

  • Kurudi kwenye meza ya mazungumzo; masharti ya Iran na wajibu wa pande za Magharibi na IAEA

    Kurudi kwenye meza ya mazungumzo; masharti ya Iran na wajibu wa pande za Magharibi na IAEA

    Sep 21, 2025 03:42

    Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa notisi likisisitiza kuwa ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA utasitishwa hivi karibuni.

  • Pezeshkian: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo

    Pezeshkian: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo

    Sep 21, 2025 03:22

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu msimamo thabiti wa Iran, na kusema Jamhuri ya Kiislamu itashinda vikwazo vinavyochochewa na wale wote wenye nia mbaya na kamwe haitasalimu amri mbele ya uonevu na matakwa yao ya mabavu.

  • SNSC: Iran kusitisha ushirikiano na IAEA baada ya kuwekewa tena vikwazo

    SNSC: Iran kusitisha ushirikiano na IAEA baada ya kuwekewa tena vikwazo

    Sep 21, 2025 03:22

    Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran (SNSC) limesema Tehran itasitisha ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kutoiondolea kabisa Tehran vikwazo dhidi yake.

  • Kupinga nchi za Magharibio azimio la kuondolewa vikwazo Iran

    Kupinga nchi za Magharibio azimio la kuondolewa vikwazo Iran

    Sep 20, 2025 23:05

    Nchi za Magharibi zimezuia kupitishwa azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililopendekezwa na Korea Kusini kuhusu kuongezwa muda wa kuondolewa vikwazo vya nyuklia Iran.

  • Iran: Baraza la Usalama la UN limeihasiri diplomasia kwa kupinga vikwazo visiondolewe moja kwa moja

    Iran: Baraza la Usalama la UN limeihasiri diplomasia kwa kupinga vikwazo visiondolewe moja kwa moja

    Sep 20, 2025 00:11

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, uamuzi wa Baraza la Usalama la umoja huo wa kutoondoa moja kwa moja vikwazo ilivyowekewa Iran unadhoofisha chombo hicho kikuu cha kimataifa, unavuruga diplomasia na unahatarisha Mkataba wa Kuzuia Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS