Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Araqchi alitaka Baraza la Usalama la UN kuchagua diplomasia badala ya makabiliano

    Araqchi alitaka Baraza la Usalama la UN kuchagua diplomasia badala ya makabiliano

    Sep 19, 2025 23:17

    Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kuchagua njia ya diplomasia badala ya makabiliano.

  • Sababu za kuongezeka maradufu mauzo ya Iran barani Afrika

    Sababu za kuongezeka maradufu mauzo ya Iran barani Afrika

    Sep 19, 2025 23:03

    Mauzo ya Iran barani Afrika yameongezeka maradufu.

  • Haj Ali Akbari: Hatutahadaika na mchezo wa Snapback

    Haj Ali Akbari: Hatutahadaika na mchezo wa Snapback

    Sep 19, 2025 09:50

    Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuhusiana na kuhuishwa utaratibu wa "Snapback" kwamba: Inapasa kuzingatiwa kuwa baada ya kuvuka vikwazo vinavyolemaza; masuala haya kwa kiasi kikubwa ni ya kisaikolojia na ni hila yenye lengo la kupotosha fikra za waliowengi, na kamwe Iran haiwezi kuhadaika na michezo hii.

  • Araqchi: Nchi za Ulaya zinapasa kuonyesha nia ya dhati na ya kweli katika diplomasia

    Araqchi: Nchi za Ulaya zinapasa kuonyesha nia ya dhati na ya kweli katika diplomasia

    Sep 18, 2025 03:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi jana amezungumza kwa simu na Mawaziri wenzake wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza na pia na mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Umoja wa Ulaya kujadili kadhia ya nyuklia na kuondoa vikwazo haramu na kusema: Wakati umefika sasa kwa nchi za Ulaya kudhihirisha nia ya dhati na ya kweli katika diplomasia.

  • Eslami: Vitisho vya maadui vinaendelea; hali ya kuaminiana na IAEA inapasa kujengwa upya

    Eslami: Vitisho vya maadui vinaendelea; hali ya kuaminiana na IAEA inapasa kujengwa upya

    Sep 18, 2025 03:54

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema vitisho kutoka kwa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu vinaendelea tangu kujiri mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya nchi hii.

  • Bahreini: Uvamizi wa Israel dhidi ya Qatar, tishio kwa usalama wa eneo na kimataifa

    Bahreini: Uvamizi wa Israel dhidi ya Qatar, tishio kwa usalama wa eneo na kimataifa

    Sep 16, 2025 23:13

    Balozi wa Iran katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Uswisi amelaani vikali uvamizi wa karibuni wa utawala wa Israel dhidi ya Qatar na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuchukua hatua kuzuia kuendelea vitendo kama hivyo ambavyo vinatishia kila mtu katika kanda hii.

  • Rais Pezeshkian: Saudi Arabia inabeba 'jukumu zito' kwa umoja wa Waislamu dhidi ya Israel

    Rais Pezeshkian: Saudi Arabia inabeba 'jukumu zito' kwa umoja wa Waislamu dhidi ya Israel

    Sep 16, 2025 08:42

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa mataifa makubwa ya Kiislamu, hasa Saudi Arabia yanabeba "jukumu zito sana" katika hali ya sasa, na kwamba kuwepo umoja kati ya nchi za Kiislamu kutazuia uchokozi wa Israel.

  • Baqaei: Rasimu ya azimio inasisitiza kuzuiwa mashambulizi dhidi ya taasisi za nyuklia za malengo ya kiraia

    Baqaei: Rasimu ya azimio inasisitiza kuzuiwa mashambulizi dhidi ya taasisi za nyuklia za malengo ya kiraia

    Sep 16, 2025 08:41

    Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametoa taarifa kuhusu rasimu ya azimio la Iran katika Mkutano Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unaoendelea Vienna, Austria ambayo inalenga kuzuia mashambulizi kwenye vituo vya nyuklia vinavyoendesha shughuli zake kwa malengo ya amani na ya kiraia.

  • Rais wa Iran azitahadharisha nchi za Kiislamu Doha: Hakuna nchi itakayokuwa salama na uchokozi wa Israel

    Rais wa Iran azitahadharisha nchi za Kiislamu Doha: Hakuna nchi itakayokuwa salama na uchokozi wa Israel

    Sep 16, 2025 04:12

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya Israel ya Septemba 9 dhidi ya Qatar yameonyesha kuwa hakuna nchi ya Kiarabu au ya Kiislamu iliyo salama kutokana na vitendo vya uchokozi vya utawala huo.

  • Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Sep 16, 2025 03:18

    Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini Zagreb, Croatia kwa kunyakua jumla ya medali tano na kulitwaa taji hilo kabla ya muda wa mashindano kumalizika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS