Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Ufaransa itoe maelezo ya kukamatwa Muirani, mtetezi wa Palestina

    Iran: Ufaransa itoe maelezo ya kukamatwa Muirani, mtetezi wa Palestina

    Apr 14, 2025 23:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Ufaransa cha kukataa kutoa maelezo ya kukamatwa Mahdieh Esfandiari, raia wa Iran anayeishi katika mji wa Lyon, kaskazini mwa magharibi mwa Ufaransa, zaidi ya mwezi mmoja baada kutiwa kwake mbaroni na vyombo vya usalama vya nchi hiyo ya Ulaya.

  • Zakharova:Tunasubiri kwa hamu safari ya ujumbe wa Iran mjini Moscow

    Zakharova:Tunasubiri kwa hamu safari ya ujumbe wa Iran mjini Moscow

    Apr 14, 2025 09:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa nchi hiyo inasubiri kwa hamu ziara ya ujumbe wa Iran mjini Moscow ili kukutana na kuzungumza na wenzao wa Russia.

  • Iran: Mazungumzo ya Oman ni chanya na ya matumaini; kuendelea wiki ijayo

    Iran: Mazungumzo ya Oman ni chanya na ya matumaini; kuendelea wiki ijayo

    Apr 12, 2025 23:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ameitaja duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani kuwa "chanya na yenye kuleta matumaini."

  • Wizara: Iran imezalisha mifumo ya ulinzi zaidi ya 900

    Wizara: Iran imezalisha mifumo ya ulinzi zaidi ya 900

    Apr 12, 2025 22:51

    Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu imeunda zaidi ya mifumo 900 ya ulinzi na zana za kijeshi; hatua inayoashiria ustawi wa kiwango kikubwa ikilinganishwa na kipindi cha kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979.

  • Iran: Tunataka makubaliano ya haki, heshima na usawa; Israel yaingiwa na kiwewe

    Iran: Tunataka makubaliano ya haki, heshima na usawa; Israel yaingiwa na kiwewe

    Apr 12, 2025 08:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu inataka makubaliano ya haki na ya heshima, na yaliyojadiliwa kwenye mazingira ya usawa. Sayyid Araghchi amesema hayo kabla ya kuanza mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na wawakilishi wa Marekani.

  • Iraq: Tuna hamu ya kushirikiana na Iran kuimarisha utulivu wa kieneo

    Iraq: Tuna hamu ya kushirikiana na Iran kuimarisha utulivu wa kieneo

    Apr 11, 2025 22:50

    Rais wa Iraq, Abdul Latif Rashid ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kufanya kazi na kushirikiana na Iran ili kuhakikisha kuwa eneo hili la Asia Magharibi linakuwa na utulivu na usalama.

  • Kamanda wa Jeshi la Wanamaji: Uwezo wa kijeshi wa Iran uko juu sana

    Kamanda wa Jeshi la Wanamaji: Uwezo wa kijeshi wa Iran uko juu sana

    Apr 10, 2025 22:37

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran, Admeli Shahram Irani amesema uwezo na nguvu za Jeshi la Iran zimefikia viwango vya juu ambavyo havijawahi kushuhudiwa.

  • Araqchi: Uhusiano wa Iran na Algeria uko imara, ni wa kihistoria

    Araqchi: Uhusiano wa Iran na Algeria uko imara, ni wa kihistoria

    Apr 10, 2025 08:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Algeria ni nchi kubwa na yenye taathira katika Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba uhusiano kati ya nchi hiyo na Iran ni mkubwa, imara na wa siku nyingi.

  • Kuidhinishwa makubaliano ya pande zote baina ya Iran na Russia katika Duma kuna umuhimu gani?

    Kuidhinishwa makubaliano ya pande zote baina ya Iran na Russia katika Duma kuna umuhimu gani?

    Apr 09, 2025 23:19

    Bunge la Duma la Russia Jumanne (Aprili 8) liliidhinisha Mkataba wa Ushirikiano Kamili wa Kimkakati kati ya Russia na Iran.

  • Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman

    Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman

    Apr 08, 2025 03:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya "mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu" nchini Oman karibuni hivi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS