-
Iran: Wakimbizi wa Afghanistan watarejeshwa kwao kwa heshima
Mar 25, 2025 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Iran na Afghanistan wameandaa utaratibu mzuri wa pamoja wa kuwawezesha wakimbizi wa Afghanistan waliopo nchini Iran warejee nchini kwao kwa heshima.
-
Iran yatahadharisha kuhusu athari za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama wa dunia
Mar 24, 2025 05:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira za vita vipya vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama na amani ya kimataifa.
-
Kamanda: Jeshi la Iran litawaponda maadui wakifanya kosa lolote
Mar 23, 2025 07:26Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema kikosi chake kiko macho na tayari kabisa kuwaangamiza maadui endapo watathubutu kufanya makosa yoyote dhidi ya taifa hili.
-
Ujumbe unaogongana wa Marekani kwa Iran: Salamu za Nowruz zilizowekwa viungo vya kushadidisha vikwazo
Mar 22, 2025 22:52Katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa 1404 Hijiria Shamsia, Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya, ambavyo vinalenga idara kadhaa, meli na watu binafsi, huku Rais Donald Trump wa nchi hiyo, akidai kuwatakia Wairani heri ya mwaka mpya. Kwa maneno mengine ni kuwa, salamu za Nowruz za Wamarekani kwa Wairani zimewekwa viungo vya kushadidisha vikwazo na mashinikizo dhidi yao.
-
Imam Khamenei: Iwapo Wamarekani watafanya uhabithi kwa taifa la Iran, watazabwa kofi kali
Mar 21, 2025 11:13Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Mwaka 1404 ni "Mwaka wa Uwekezaji kwa ajili ya Uzalishaji"
Mar 20, 2025 07:42Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu uwa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1404 hijria shamsia na kuutaja mwaka huu mpya kuwa ni "Mwaka wa Uwekezaji kwa ajili ya Uzalishaji."
-
Mkesha wa kwanza wa Laylatul Qadr waadhimishwa Iran na maeneo mengine duniani
Mar 20, 2025 03:14Usiku wa kuamkia leo Alkhamisi yaani mwezi 19 Ramadhani, ulikuwa ni mkesha wa kwanza wa Laylatul Qadr na umeadhimishwa katika kona zote za Iran na maeneo mengine duniani.
-
Baghaei: Machi 19 ni uthibitisho wa dhamira ya Wairani ya kupinga uonevu
Mar 19, 2025 23:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tarehe 29 Isfand (Machi 19), ambayo ni maadhimisho ya siku ya kufanywa mafuta ya Iran kuwa ni mali ya taifa, ni ushahidi wa azma ya kweli ya wananchi wa Iran ya kupinga uonevu.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu matokeo mabaya ya uchokozi wa aina yoyote
Mar 19, 2025 23:04Amir Saeed Irvani, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa alitahadharisha katika barua yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu kwamba, hatua zozote za kichokozi zitakazofanywa na Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na hatari mno.
-
Iran yakosoa vikali uingiliaji wa nchi za Magharibi katika kazi za Baraza la Haki za Kibinadamu UN
Mar 19, 2025 00:45Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezikosoa vikali baadhi ya nchi za Magharibi kwa kutumia vibaya taasisi za Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, nchi hizo zinataka kuingiza siasa katika masuala ya haki za binadamu dhidi ya Iran kwa kupuuza masuala ya kimsingi ya haki za binadamu ukiwemo mgogoro wa Palestina.