-
Iran: Israel iliundwa kwa damu; mauaji ya kimbari lazima yakomeshwe sasa
May 16, 2025 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa Siku ya Nakba na kusema kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel "uliasisiwa katika msingi wa umwagaji damu" na kwamba jamii ya kimataifa ina wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza.
-
Trump azitaka kampuni za US zitengeneze droni kama za Iran
May 16, 2025 03:31Rais wa Marekani, Donald Trump amesema ameziomba kampuni za Marekani kutengeneza ndege zisizo na rubani zinazofanana na droni za Iran, ambazo si ghali sana bali zina kasi ya juu na hatari.
-
Ansarullah: Iran imetekeleza wajibu wake wa Kiislamu kuiunga mkono Palestina
May 16, 2025 03:22Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ameipongeza Iran kwa uungaji mkono wake usio na kikomo kwa taifa la Palestina na kadhia yao halali na kueleza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inafuata njia ya heshima katika suala hilo na nchi nyingine zote za Kiislamu lazima zifuate mkondo huo.
-
Iran kuishtaki "Google" kwa kupotosha jina la "Ghuba ya Uajemi"
May 15, 2025 00:35Kituo cha Kitaifa cha Anga za Juu cha Iran kimesema kitachukua hatua za kisheria dhidi ya kampuni ya Google ya Marekani na majukwaa mengine ya kimataifa kutokana na kupotoshwa kwa jina la kihistoria la Ghuba ya Uajemi.
-
Araghchi: Matamshi ya Trump juu ya Iran huko Riyadh ni ya "udanganyifu"
May 14, 2025 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amepuuzilia mbali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu ustawi na maendeleo ya Iran kuwa ya "udanganyifu" akiashiria vikwazo vya Washington dhidi ya nchi hii kwa zaidi ya miongo minne.
-
Iran: Hakuna haja ya kuendelea na mazungumzo iwapo Marekani....
May 14, 2025 08:00Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Kazem Gharibabadi amesisitiza kuwa haki ya Jamhuri ya Kiislamu ya kurutubisha madini ya urani ni "mstari mwekundu" wa taifa hili, akisisitiza kuwa, kufikiwa makubaliano na Marekani kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa nchi hii kunategemea kufuata kanuni hizo.
-
Baqaei: Kusimamisha miradi ya nyuklia ya Iran kimsingi si jambo linalojadiliwa katika mazungumzo na Marekani
May 14, 2025 03:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa suala la kusimamisha miradi ya nyuklia ya Iran kimsingi halijadiliwi katika mazungumzo na Marekani na kwamba miradi yetu ya nyuklia bila shaka itaendelea kwa jadi.
-
Iran yailaani Israel kwa kupiga mabomu kambi za wakimbizi Palestina
May 13, 2025 23:17Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya hivi karibuni ya anga dhidi ya kambi za wakimbizi wa Kipalestina yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel na kusababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina wasio na hatia wakiwemo watoto wadogo.
-
Mkutano wa 31 wa Nyuklia wa Iran wafunguliwa mjini Mashhad
May 13, 2025 08:57Mkutano wa 31 wa Nyuklia wa Iran, ulioandaliwa na Jumuiya ya Nyuklia ya Iran na kuungwa mkono na Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), umefunguliwa katika mji wa Mashhad, uliopo kaskazini-mashariki mwa Iran.
-
"Iran imeazimia kweli kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia"
May 12, 2025 07:43Rais wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko "jadi" katika mazungumzo yake yasiyo ya moja kwa moja na Marekani ili kufikia makubaliano yenye msingi wa amani, na kusisitiza azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuendelea kutekeleza shughuli zake za amani za nyuklia.