Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa

    Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa

    Apr 27, 2022 22:20

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kwa mnasaba wa taifa hilo la Kiafrika kuadhimisha Siku ya Taifa.

  • Iran na Mauritania zahimiza kuimarisha ushirikiano wao katika nyuga zote

    Iran na Mauritania zahimiza kuimarisha ushirikiano wao katika nyuga zote

    Apr 20, 2022 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Mauritania na kutilia mkazo udharura wa kuimarishwa uhusiano wa Tehran na Nouakchott katika nyuga zote.

  • Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za utalii na uwekezaji

    Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za utalii na uwekezaji

    Apr 19, 2022 03:38

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimeazimia kusaini makubaliano ya maelewano juu ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga za uwezekaji na utalii.

  • Usafirishaji wa bidhaa za Iran nchini Afrika Kusini waongezeka kwa asilimia 500

    Usafirishaji wa bidhaa za Iran nchini Afrika Kusini waongezeka kwa asilimia 500

    Apr 18, 2022 21:44

    Mkuu wa Shirika la Ustawi wa Kibiashara la Iran limetangaza kuwa, usafirishaji nje bidhaa za Iran umepindukia dola bilioni 13 huku nchi za Afrika Kusini na Ghana zikiongoza kwa barani Afrika.

  • Iran yailaumu Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi waende nchini Rwanda

    Iran yailaumu Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi waende nchini Rwanda

    Apr 16, 2022 02:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameilaumu serikali ya Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi walioko nchini humo kwenda nchini Rwanda na amesisitiza kuwa, kufanya hivyo ni kukwepa London majukumu yake ya kimataifa.

  • Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Apr 15, 2022 07:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Afrika Kusini kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono na kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Tanzania yakaribisha pendekezo la Iran la kutoa elimu na mafunzo ya ujuzi kwa wanawake wa nchi hiyo

    Tanzania yakaribisha pendekezo la Iran la kutoa elimu na mafunzo ya ujuzi kwa wanawake wa nchi hiyo

    Mar 20, 2022 06:27

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu wa Tanzania amekaribisha pendekezo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Iran katika Masuala ya Wanawake na Familia la kuwapatia mafunzo ya ujuzi wanawake na wasichana wa Tanzania.

  • Iran yapinga kutumiwa vibaya haki za binadamu kwa malengo ya kibeberu

    Iran yapinga kutumiwa vibaya haki za binadamu kwa malengo ya kibeberu

    Mar 03, 2022 09:22

    Naibu wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga vikali kutumiwa vibaya suala la haki za binadamu.

  • Iran: Tuko tayari kustawisha uhusiano wetu na nchi za Afrika katika nyuga tofauti

    Iran: Tuko tayari kustawisha uhusiano wetu na nchi za Afrika katika nyuga tofauti

    Feb 23, 2022 03:43

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuimarisha na kustawisha uhusiano wake katika nyuga mbalimbali na nchi za Afrika kama vile kupeleka barani humo uzoefu wake wa kiufundi na kihandisi.

  • Raisi atoa mwito wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Msumbiji

    Raisi atoa mwito wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Msumbiji

    Feb 22, 2022 23:21

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuboreshwa uhusiano wa pande mbili baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Msumbiji katika nyuga tofauti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS