-
Raisi: Chimbuko la jinai za Wazayuni Ghaza linarejea kwenye miaka 75 ya uvamizi wao
Mar 04, 2024 00:04Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kinachojiri leo Ghaza ni mauaji ya kimbari na uhalifu wa kivita, na chimbuko la jinai hiyo linarejea kwenye historia ya miaka 75 ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Wazayuni.
-
Kupanua uhusiano wa kitamaduni kati ya Iran na Algeria kwa msingi wa misikiti
Mar 03, 2024 08:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Azma ya Iran ya kupanua uhusiano na bara la Afrika
Mar 03, 2024 08:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jana Jumamosi aliwasili Algeria akiongoza ujumbe wa kiuchumi na kisiasa kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na asasi na jumuiya za kikanda na kimataifa, na pia kupanua uhusiano na nchi za bara la Afrika.
-
Raisi: Iran ipo tayari kuipa Msumbiji uzoefu wa kiufundi na kiuhandisi
Mar 03, 2024 04:10Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ina hamu ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa ya Afrika ikiwemo Msumbiji na kuongeza kuwa, kuna haja ya kubuni ramani mpya ya njia na kuamilisha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Msumbiji ili kupiga jeki ushirikiano wa pande mbili.
-
Kufufuka uhusiano wa Iran na Sudan kwaitia wahka mkubwa Marekani
Feb 25, 2024 02:54John Godfrey, balozi wa Marekani nchini Sudan, amesema katika taarifa ya uingiliaji wa wazi wa mambo yasiyomuhusu ndewe wala sikio kwamba eti ana wasiwasi wa kuimarika uhusiano kati ya Iran na Sudan kwa madai kuwa uhusiano huo utaifanya Iran iisaidie kijeshi Sudan.
-
Iran yaunga mkono kikamilifu taarifa ya mwisho ya mkutano wa Umoja wa Afrika
Feb 19, 2024 04:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, inaunga mkono kikamilifu taarifa ya mwisho wa mkutano wa kilele wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU iliyotaka kuhitimishwa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama
Feb 10, 2024 07:11Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso ameshiriki katika sherehe za madhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo bora cha utawala, muqawama, ushujaa na mapambano.
-
Msomi Mnigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni dhihirisho la kupigania uhuru duniani
Feb 07, 2024 23:33Mwanasiasa na mwandishi mashuhuri wa Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (RA) ni kigezo cha wapigania uhuru kote duniani ili kuzifanya nchi zao kuwa huru.
-
Tehran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi kwa makampuni ya Iran
Feb 06, 2024 08:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Uratibu wa Diplomasia ya Uchumi amesema Afrika ni bara lenye fursa nyingi kwa makampuni ya Iran.
-
Rais Raisi: Sera ya msingi ya Iran ni kuunga mkono nchi zinazojitenga na Israel
Feb 05, 2024 23:30Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema sera ya msingi ya Jamhuri ya Kiislamu ni kuunga mkono nchi zinazojitenga na utawala wa Kizayuni wa Israel.