-
China na Russia zahimiza kuhitimishwa 'vikwazo haramu' dhidi ya Iran
Mar 14, 2025 14:47Wanadiplomasia wa China na Russia wametoa wito wa kuondolewa "vikwazo visivyo halali" dhidi ya Iran, wakisisitiza kuwa Tehran inayo haki ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Israel yafanya maangamizi Lebanon, yateketeza msikiti na soko, idadi ya waliouawa na kujeruhiwa haijajulikana
Oct 13, 2024 10:57Msururu wa mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel yameteketeza kikamilifu msikiti na kubomoa soko kusini mwa Lebanon, katika kile kilichoelezewa kama "uangamizaji wa kila kitu" huku utawala huo ghasibu ukishadidisha na kupanua mashambulizi yake ya mabomu na makombora katika kila pembe ya nchi hiyo.
-
Iran na Russia katika njia ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 19, 2024 06:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Russia kwa madhumuni ya kuboresha mahusiano ya pande mbili.
-
Russia: HAMAS haitatoweka, inaungwa mkono na Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 29, 2024 02:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema lengo la Israel la kuliondoa vuguvugu la Muqawama wa Palestina la HAMAS kazi "isiyoendana na uhalisia".
-
Russia: Tehran na Moscow zinaendelea kuyafanyia kazi makubaliano makubwa ya ushirikiano
Jul 24, 2024 13:04Baada ya kuchapishwa taarifa kuhusu kusimamishwa kwa muda makubaliano ya ushirikiano kati ya Iran na Russia; Dmitry Peskov Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kazi ya kutekeleza makubaliano makubwa kati ya nchi yake na Iran inaendelea lakini ratiba imebadilika kwa sababu ya kufanyika uchaguzi nchini Iran.
-
Kuimarika uhusiano wa Iran na Russia kufuatia kusainiwa mkataba wa usambazaji gesi
Jun 27, 2024 05:50Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutiwa saini mapatano ya kusafirisha gesi ya Russia hadi Iran ni hatua muhimu katika mwelekeo wa kuimarisha uhusiano wa nchi mbili na hatua athirifu inayolenga kustawisha uchumi wa eneo.
-
Maafisa usalama wa Iran na Russia wakutana Tehran katika kikao cha pamoja
Jun 20, 2024 03:10Maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wametilia mkazo wajibu wa kushirikiana zaidi katika kupambana na ugaidi na uhalifu wa kitaasisi na kiserikali pamoja na kupambana na mihadarati.
-
Putin: Misingi ya serikali ya Iran ni madhubuti na imara
May 25, 2024 08:07Ikiwa ni katika kuzungumzia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na wenzake katika ajali ya helikopta iliyotokea huko kaskazini magharibi mwa nchi , Rais wa Russia amesema, hatarajii mabadiliko yoyote kutokea katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa sababu misingi ya serikali ya Iran ni thabiti na imara.
-
Bagheri: Iran na Russia zimegeuza vikwazo vya Marekani kuwa fursa
May 18, 2024 07:39Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa "Russia na Ulimwengu wa Kiislamu" kwamba: Vikwazo vya Marekani vimegeuzwa kuwa fursa kwa busara na viongozi wa Tehran na Moscow.
-
Kuundwa miundombinu ya pamoja kati ya Irani na Russia kwa ajili ya kuimarisha mashirika yenye msingi wa maarifa
Dec 18, 2023 07:20Mkuu wa Shirika la Maendeleo na Biashara la Iran ametilia mkazo juu ya kuundwa miundombinu ya pamoja kati ya Iran na Russia kwa ajili ya kuboresha mashirika ya msingi wa maarifa.