-
Russia: HAMAS haitatoweka, inaungwa mkono na Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 28, 2024 23:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema lengo la Israel la kuliondoa vuguvugu la Muqawama wa Palestina la HAMAS kazi "isiyoendana na uhalisia".
-
Russia: Tehran na Moscow zinaendelea kuyafanyia kazi makubaliano makubwa ya ushirikiano
Jul 24, 2024 09:34Baada ya kuchapishwa taarifa kuhusu kusimamishwa kwa muda makubaliano ya ushirikiano kati ya Iran na Russia; Dmitry Peskov Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kazi ya kutekeleza makubaliano makubwa kati ya nchi yake na Iran inaendelea lakini ratiba imebadilika kwa sababu ya kufanyika uchaguzi nchini Iran.
-
Kuimarika uhusiano wa Iran na Russia kufuatia kusainiwa mkataba wa usambazaji gesi
Jun 27, 2024 02:20Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutiwa saini mapatano ya kusafirisha gesi ya Russia hadi Iran ni hatua muhimu katika mwelekeo wa kuimarisha uhusiano wa nchi mbili na hatua athirifu inayolenga kustawisha uchumi wa eneo.
-
Maafisa usalama wa Iran na Russia wakutana Tehran katika kikao cha pamoja
Jun 19, 2024 23:40Maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wametilia mkazo wajibu wa kushirikiana zaidi katika kupambana na ugaidi na uhalifu wa kitaasisi na kiserikali pamoja na kupambana na mihadarati.
-
Putin: Misingi ya serikali ya Iran ni madhubuti na imara
May 25, 2024 04:37Ikiwa ni katika kuzungumzia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na wenzake katika ajali ya helikopta iliyotokea huko kaskazini magharibi mwa nchi , Rais wa Russia amesema, hatarajii mabadiliko yoyote kutokea katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa sababu misingi ya serikali ya Iran ni thabiti na imara.
-
Bagheri: Iran na Russia zimegeuza vikwazo vya Marekani kuwa fursa
May 18, 2024 04:09Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa "Russia na Ulimwengu wa Kiislamu" kwamba: Vikwazo vya Marekani vimegeuzwa kuwa fursa kwa busara na viongozi wa Tehran na Moscow.
-
Kuundwa miundombinu ya pamoja kati ya Irani na Russia kwa ajili ya kuimarisha mashirika yenye msingi wa maarifa
Dec 18, 2023 03:50Mkuu wa Shirika la Maendeleo na Biashara la Iran ametilia mkazo juu ya kuundwa miundombinu ya pamoja kati ya Iran na Russia kwa ajili ya kuboresha mashirika ya msingi wa maarifa.
-
Abdollahian: Kusifanywe jambo ambalo litatoa pigo kwa uhusiano wa Iran na Russia
Jul 19, 2023 04:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kujitawala na mamlaka ya ardhi yote ya Iran ni jambo ambalo katu si kitu cha kufanyiwa mazungumzo.
-
Raisi: Ushirikiano wa nchi huru ndio jibu kwa mkakati wa Marekani wa kudhoofisha usalama
Nov 09, 2022 12:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi huru ndilo jibu muhimu zaidi kwa stratijia ya Marekani ya kuyumbisha usalama.
-
Mkutano wa marais wa Iran na Russia; nchi mbili zilizo katika mkondo wa pamoja wa kimkakati
Jan 20, 2022 22:59Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran siku ya Jumatano alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow ambapo pande mbili zimejadili masuala ya kieneo na kimataifa.