-
Waziri Mkuu wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada wa washauri wa kijeshi
Aug 10, 2016 23:19Waziri Mkuu wa Iraq ameishukuru Iran kwa uungaji mkono wa washauri wake wa kijeshi kwa vikosi vya nchi hiyo na kueleza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran wapo Iraq kufuatia ombi la serikali ya Iraq.
-
Spika wa bunge la Iraq azuiwa kutoka nje ya nchi
Aug 02, 2016 11:13Waziri Mkuu wa Iraq amemzuia Spika wa bunge la nchi hiyo kutoka nje ya nchi.
-
Shambulizi jingine la bomu Iraq, makumi wauawa
Jul 25, 2016 03:26Kwa akali watu 18 wameuawa na wengine 23 kujeruhiwa katika hujuma nyingine ya kigaidi mashariki mwa Iraq, siku moja baada ya shambulizi jingine la bomu kuua na kujeruhi makumi ya watu katika mji mkuu Baghdad.
-
30 wauwa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Baghdad, Iraq
Jul 24, 2016 03:19Kwa akali watu 10 wamethibitishwa kupoteza maisha na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea mapema leo katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Muqtada Sadr atahadharisha juu ya kutumwa askari wa US, Iraq
Jul 18, 2016 03:14Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq ameitahadharisha Marekani dhidi ya kutuma askari wake zaidi nchini humo kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
'Waziri wa Vita' wa ISIS athibitishwa kuangamizwa
Jul 14, 2016 02:03Kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limethibitisha kuangamizwa kamanda wake wa ngazi za juu, Omar al-Shishani, ambaye inasemekana aliuawa mwezi Machi.
-
Rais wa Iraq apasisha hukumu ya kifo dhidi ya magaidi wa Daesh
Jul 13, 2016 23:40Rais Fuad Masum wa Iraq amepasisha hukumu ya kifo dhidi ya idadi kadhaa ya magaidi nchini humo.
-
Rouhani: Iran itaendelea kupambana na ugaidi
Jul 11, 2016 12:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran itaendelea kutetea heshima na hadhi ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) kupitia njia ya kupambana na ugaidi bega kwa bega na wananchi na serikali ya Iraq.
-
Iran yawataka Wairaqi waungane ili waweze kuangamiza magaidi wa ISIS
Jul 10, 2016 08:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja imara baina ya makundi mbali mbali ya Iraq ili taifa hilo lifanikiwe kuangamiza magaidi wakufurishaji nchini humo na kote katika eneo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq awafuta kazi maafisa usalama Baghdad baada ya kuuawa watu 300
Jul 08, 2016 22:56Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amewafuta kazi maafisa wa ngazi za juu wanaosimamia usalama katika mji mkuu Baghdad kufuatia hujuma ya kigaidi.