-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 02:03Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Ayatullah Sistani aunga mkono uchaguzi wa mapema wa Bunge nchinI Iraq
Sep 13, 2020 22:12Kiongozi mkuu wa kidini wa Iraq ametangaza uungaji mkono wake kwa uchaguzi wa mapema wa bunge ambao ni miongoni mwa matakwa muhimu ya waandamanaji ambao wanaendelea kufanya maandamano kwa miezi kadhaa sasa tangu mwaka jana dhidi ya ufisadi na hali mbaya ya uchumi nchini Iraq.
-
Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?
Sep 11, 2020 03:06Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi na kusisitiza wakati wa kampeni zake za uchaguzi kwamba, endapo atachaguliwa kuwa Rais basi atayaondoa majeshi ya nchi hiyo yaliyopo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mufti wa kundi la kigaidi la Daesh atiwa mbaroni Kirkuk, Iraq
Sep 09, 2020 20:45Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia mbaroni Mufti wa kundi la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Safari ya Macron nchini Iraq, jitihada za kutunisha nafasi ya Ufaransa eneo la magharibi mwa Asia
Sep 03, 2020 04:30Katika mwezi mmoja uliopita Ufaransa imezidisha harakati zake za kidiplomasia kupitia safari za rais wa nchi hiyo katika nchi za Lebanon na Iraq katika fremu ya kutaka kukuza na kuzidisha nafasi ya Paris katika matukio ya eneo la magharibi mwa Asia.
-
Muungano wa Fat'h: Trump hana haki ya kuainisha wakati wa kubakia wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Aug 28, 2020 22:07Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hana haki ya kuainisha wakati wa kuendelea kuwepo wanajehi wa nchi yake katika ardhi ya Iraq.
-
Iraq yatoa msimamo rasmi kuhusu mapatano ya UAE na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 27, 2020 06:24Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuhusu mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba, hilo ni suala la ndani linalozihusu pande hizo mbili.
-
Iraq kuendelea kushirikiana na Iran, Syria na Russia kupambana na Daesh
Aug 26, 2020 23:34Kamandi ya operesheni za pamoja nchini Iraq imesisitiza kuwa, nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Iran, Syria na Russia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh yaani ISIS na kubadilishana taarifa.
-
Mkumi ya maelfu ya askari wa Iraq kushiriki katika ulinzi wa maombolezo ya Ashura
Aug 25, 2020 07:19Mkuu wa Jeshi la Polisi la Karbala Iraq amesema, askari 30 elfu wamewekwa tayari kwa ajili ya kulinda usalama wa wafanya ziara na waombolezaji wa Ashura ya Imam Husain AS.
-
Allawi atahadharisha kuhusu njama za Marekani dhidi ya Iraq
Aug 23, 2020 21:58Mkuu wa Muungano wa al Wataniya wa Iraq amesema kuwa Marekani ikishirikiana na Uingereza na Ufaransa, inaongoza njama dhidi ya Iraq kwa kisingizio cha muungano wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.