-
Iraq yawahukumu kifo raia wa Ufaransa waliojiunga na ISIS (Daesh)
May 26, 2019 23:48Mahakama nchini Iraq imewahukumu adhabu ya kunyongwa raia watatu wa Ufaransa, waliopatikana na hatia ya kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Wairaq wafanya maandamano makubwa kulaani siasa za Marekani dhidi ya Iran
May 26, 2019 06:56Maelfu ya raia wa Iraq wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mkoa wa Baghdad na Basra wakilalamikia siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Harakati ya al-Nujaba ya Iraq: Marekani inatafuta wenzo wa kuibua machafuko Asia Magharibi
May 20, 2019 05:23Mkuu wa Baraza la Utendaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujaba nchini Iraq, Nasr al-Shammari amesema kuwa, Marekani inafuatilia wenzo wa kuibua machafuko katika eneo eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ikiwemo Iraq.
-
Kamanda wa Iraq: Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni dalili ya upumbavu
May 19, 2019 20:50Kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq amesema hatua ya Marekani kushadidisha mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaashiria 'upumbavu mpya' na hali ya kukanganyikiwa Washington.
-
Viongozi wa Iraq wamwambia Pompeo, Baghdad itaendelea kuwa rafiki wa Iran
May 08, 2019 07:53Waziri Mkuu na Rais wa Iraq wamemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwamba Baghdad itaendelea kuimarisha ushirikiano, urafiki na majirani wake ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Pompeo: Safari nchini Iraq ilikuwa kuhusiana na Iran
May 08, 2019 03:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ameitaja safari yake ya ghafla huko Baghdad kuwa inahusiana na mivutano ya sasa kati ya nchi hiyo na Iran.
-
Harakati ya Nujaba ya Iraq: Tutaendelea kupambana na Marekani na utawala haramu wa Israel
May 07, 2019 20:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujaba nchini Iraq ameitaja Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kuwa chanzo cha shari duniani na kusisitiza kwamba wataendeleza mapambano yao dhidi ya shari hizo.
-
Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo
May 04, 2019 21:57Maafisa usalama nchini Iraq wametangaza kwamba, kikosi cha upelelezi cha nchi hiyo kimefanikiwa kufelisha njama za magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kurejea tena ndani ya nchi hiyo.
-
Kama si Iran leo Iraq na Syria zingekuwa zimegawanyika vipande vipande
May 02, 2019 03:29Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asema uthabiti na usalama katika eneo umepatikana kwa gharama kubwa na kuongeza kuwa: "Kama si ushirikiano wa kujitolea wa Iran, leo Iraq na Syria zingekuwa zimegawanyika vipande vipande mikononi mwa waovu na maadui wa amani na usalama."
-
Jasusi aliyesababisha mauaji ya kikatili ya watu 40 Iraq atiwa mbaroni
May 01, 2019 09:33Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Iraq limetangaza habari ya kutiwa mbaroni jasusi mmoja wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) mjini Mosul ambaye alisababisha watu 40 kuuliwa kikatili nchini humo.