-
HRW: Bahrain imewapokonya uraia watu 8 na kuwapeleka Iraq
Feb 04, 2018 13:01Katika kile kinachoonekana na muendelezo wa sera kandamizi za Bahrain, utawala wa Aal-Khalifa umewapokonya uraia watu wanane na kuwapeleka nchini Iraq.
-
Al-Abadi: Baada ya kuwatokomeza Daesh, vita iliyosalia ni kupambana na ufisadi
Feb 02, 2018 10:46Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), changamoto mpya inayoikabili Iraq hivi sasa ni kupambana na ufisadi.
-
Waziri wa Uhajiri: Zaidi ya Wairaqi milioni mbili walioyakimbia makazi yao wamerejea makwao
Feb 02, 2018 00:18Waziri wa Uhajiri wa Iraq ametangaza kuwa, zaidi ya raia milioni mbili waliokuwa wameyakimbia makazi yao kutokana na jinai za kundi la kigaidi la Daesh na kulazimika kuwa wakimbizi wamerejea makwao.
-
Iran yaunga mkono juhudi za kutatua matatizo ya Iraq
Jan 29, 2018 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Iraq na kubadilishana naye mawazo kuhusu masuala na matukio mbalimbali ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Muqtada Sadr akosoa hatua ya US ya kuua askari wa Iraq
Jan 28, 2018 04:27Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq amelaani mauaji ya hivi karibuni ya askari wa nchi hiyo ya Kiarabu yaliyotekelezwa na ndege za kivita za Marekani katika mkoa wa Anbar.
-
Bunge la Iraq kuchukua uamuzi kuhusu tarehe ya kufanyika uchaguzi
Jan 20, 2018 12:01Bunge la Iraq leo Jumamosi limeshindwa kufikia uamuzi kuhusiana na tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Bunge katika kikao chake maalumu hivi leo.
-
Haider al-Abadi: Uchaguzi wa bunge la Iraq hautaahirishwa na utafanyika kama ilivyopangwa
Jan 17, 2018 04:22Waziri Mkuu nchini Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa uchaguzi wa bunge la nchi hiyo utafanyika katika tarehe iliyopangwa ya 12 Mei mwaka huu na kwamba kamwe hautaahirishwa.
-
Watu 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Jan 15, 2018 04:19Watu wasiopungua 27 wameuawa na wengine zaidi ya 65 kujuruhiwa kufuatia mashambulizi mawili ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Uturuki: Fitina ya kuigawa Kurdistan na Iraq, imesambaratishwa na Ankara, Tehran na Baghdad
Jan 12, 2018 04:18Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki, Süleyman Soylu amesema kuwa, fitina iliyokuwa imeratibiwa na baadhi ya madola yenye nguvu kwa ajili ya kuligawa eneo la Kurdistan na Iraq, imesambaratishwa kwa ushirikiano chanya wa Ankara, Tehran na Baghdad.
-
IOM: Zaidi ya nusu ya wakimbizi wa Kiiraqi wamerejea makwao
Jan 05, 2018 04:32Shirika la Kimataifa kwa ajili ya Uhajiri (IOM) limetangaza kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba wa mwaka uliomalizika wa 2017, wakimbizi milioni tatu, laki mbili na 20 elfu wa Kiiraqi walikuwa wamesharejea makwao.