-
Nchi mbalimbali zapinga uingiliaji wa Marekani katika mambo ya ndani ya Iran
Jan 03, 2018 00:32Nchi kadhaa za eneo la Mashariki ya Kati zimetoa taarifa mbalimbali na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Sheria wa Algeria: Waalgeria 226 wamejiunga na Daesh
Dec 19, 2017 04:33Waziri wa Sheria wa Algeria ametangaza kuwa raia wa nchi hiyo wasiopungua 226 wameelekea katika nchi za Iraq na Syria kwa ajili ya kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Kutangazwa ushindi wa mwisho wa taifa la Iraq dhidi ya ISIS
Dec 11, 2017 00:04Mkanda wa kuendelea kushindwa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la Mashariki ya Kati unaendelea kiasi kwamba, muda mchache baada ya kutangazwa kushindwa kikamilifu ISIS nchini Syria, habari nyingine zinasema kuwa magaidi hao wakufurishaji wameshindwa kikamilifu pia nchini Iraq.
-
Mkutano wa utangulizi wa OIC wa mapatano ya kitaifa ya Iraq kufanyika Baghdad
Dec 11, 2017 00:03Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) leo Jumatatu inafanya mkutano wa utangulizi kuhusu mapatano ya kitaifa ya Iraq huko Baghdad mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Iraq yatangaza rasmi kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS nchini humo
Dec 09, 2017 11:40Waziri Mkuu wa Iraq leo ametangaza rasmi kumalizika kwa mafanikio vita dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua raia 800 Iraq na Syria
Dec 01, 2017 01:07Muungano eti wa kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani umetoa ripoti ukikiri kwamba katika kipindi cha kuanzia mwaka 2014 hadi 2017 umeua raia wasiopungua mia nane katika nchi za Iraq na Syria.
-
Hizbullah: Marekani imeisadia Daesh huko al Bukamal
Nov 21, 2017 00:09Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani imeilisaidia kundi la kigaidi la Daesh katika mapigano ya hivi majuzi katika mji wa al Bukamal nchini Syria hatua ambayo inakadhibisha madai ya Washington kwamba inapambana na ugaidi
-
Al Abadi aunga mkono agizo la Mahakama ya Shirikisho ya Iraq ya kufuta kura ya maoni ya Kurdistan
Nov 20, 2017 23:09Ofisi ya Waziri Mkuu wa Iraq imetoa taarifa ikiunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu ya Shirikisho ya nchi hiyo ya kufuta matokeo ya kura ya maoni iliyofanyika nchini humo kwa ajili ya kujitenga eneo la Kurdistan.
-
Viongozi wa Iraq waiunga mkono harakati ya Nujabaa kutokana na njama chafu za Marekani
Nov 19, 2017 04:09Sambamba na kutolewa pendekezo la kuiwekea vikwazo harakati ya muqawama ya Nujaba ya nchini Iraq katika bunge la kongresi ya Marekani, shakhsia tofauti wa kisiasa, kijeshi, kijamii, kidini na wakuu wa koo nchini Iraq mbali na kupinga hatua hiyo ya kiuadui, wametangaza uungaji mkono wao kwa harakati hiyo ya Kiislamu.
-
Kusambaratishwa kikamilifu DAESH (ISIS) nchini Iraq
Nov 19, 2017 04:00Mabadiliko yanayojiri kwenye medani za vita nchini Iraq yanabainisha kusambaratishwa na kutokomezwa Daesh (ISIS) nchini humo; na kushindwa kikamilifu kundi hilo la kigaidi na kitakfiri ambako ni sawa na kupata mafanikio makubwa Wairaqi katika mapambano dhidi ya magaidi kumeakisiwa sana na duru mbalimbali za habari.