-
Wanamuqawama wa Iraq wakishambulia kituo cha jeshi la Marekani kwa maroketi na makombora 40
Jan 21, 2024 11:26Vikosi vya Muqawama wa Iraq vimekishambulia kwa maroketi na makombora 40 kituo cha wanajeshi vamizi wa Marekani cha A'inul-Assad kilichoko kwenye mkoa wa Al-Anbar.
-
Kuongezeka uwepo kijeshi wa Marekani huko Iraq na Syria
Jan 16, 2024 14:27Marekani ilituma wanajeshi huko Iraq mwaka 2003 wakati ilipoivamia na kuikalia kwa mabavu nchi hiyo mwaka 2003; na kuhusu Syria pia Marekani ilituma wanajeshi wake nchini humo mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Kitakfiri la Daesh (ISIS) katika fremu ya Muungano wa Kimataifa wa eti kukabiliana na ugaidi.
-
Makombora ya IRGC yazitwanga ngome za magaidi Syria na kituo cha ujasusi cha Mossad Kurdistan ya Iraq
Jan 16, 2024 04:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, limevurumisha makombora ya balestiki kulenga ngome za magaidi wa Syria, waliohusika katika mashambulizi ya hivi karibuni nchini Iran, pamoja na kituo cha ujasusi cha Israel katika eneo la Kurdistan ya Iraq.
-
Vituo vya kijeshi vya US vimeshambuliwa mara 130 na muqawama Iraq, Syria
Jan 13, 2024 11:50Kambi na vituo vya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika nchi za Syria na Iraq vimeshambuliwa mara 130, tangu vilipoanza vita vya Gaza mnamo Oktoba mwaka uliopita.
-
Al Sudani asisitiza kuondoka haraka wanajeshi vamizi wa Marekani huko Iraq
Jan 11, 2024 07:46Waziri Mkuu wa Iraq ameashiria hatua za kuvuruga usalama na amani vya Marekani na kutaka kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani haraka iwezekanavyo.
-
Njama za Marekani za kuendelea kubakia kijeshi nchini Iraq
Jan 11, 2024 07:14Licha ya serikali ya Iraq kuitaka Marekani iondoe wanajeshi wake nchini humo, lakini Washington imetangaza kuwa, haina ratiba yoyote ya kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Hatujaweka ratiba yoyote ya kuondoka Iraq
Jan 10, 2024 06:19Patrick Ryder, msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema, nchi hiyo haina mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Iraq.
-
Azma thabiti ya serikali ya Iraq kuondolewa nchini humo wanajeshi wa Marekani
Jan 07, 2024 08:17Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza katika msimamo nadra kabisa juu ya ulazima wa kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani.
-
Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115
Jan 06, 2024 03:47Afisa mmoja wa Marekani amekiri kuwa katika muda wa siku 81 zilizopita, ngome na vituo vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115.
-
Al Hashd al-Shaabi: Iran ilikuwa na nafasi kubwa katika kuihami Baghdad dhidi ya ISIS
Dec 31, 2023 11:43Mkuu wa harakati ya mapambano ya Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al-Shaabi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa na nafasi muhimu katika kuihami na kuiunga mkono serikali ya Iraq katika kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).