-
Makombora ya IRGC yazitwanga ngome za magaidi Syria na kituo cha ujasusi cha Mossad Kurdistan ya Iraq
Jan 16, 2024 00:40Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, limevurumisha makombora ya balestiki kulenga ngome za magaidi wa Syria, waliohusika katika mashambulizi ya hivi karibuni nchini Iran, pamoja na kituo cha ujasusi cha Israel katika eneo la Kurdistan ya Iraq.
-
Vituo vya kijeshi vya US vimeshambuliwa mara 130 na muqawama Iraq, Syria
Jan 13, 2024 08:20Kambi na vituo vya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika nchi za Syria na Iraq vimeshambuliwa mara 130, tangu vilipoanza vita vya Gaza mnamo Oktoba mwaka uliopita.
-
Al Sudani asisitiza kuondoka haraka wanajeshi vamizi wa Marekani huko Iraq
Jan 11, 2024 04:16Waziri Mkuu wa Iraq ameashiria hatua za kuvuruga usalama na amani vya Marekani na kutaka kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani haraka iwezekanavyo.
-
Njama za Marekani za kuendelea kubakia kijeshi nchini Iraq
Jan 11, 2024 03:44Licha ya serikali ya Iraq kuitaka Marekani iondoe wanajeshi wake nchini humo, lakini Washington imetangaza kuwa, haina ratiba yoyote ya kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Hatujaweka ratiba yoyote ya kuondoka Iraq
Jan 10, 2024 02:49Patrick Ryder, msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema, nchi hiyo haina mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Iraq.
-
Azma thabiti ya serikali ya Iraq kuondolewa nchini humo wanajeshi wa Marekani
Jan 07, 2024 04:47Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza katika msimamo nadra kabisa juu ya ulazima wa kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani.
-
Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115
Jan 06, 2024 00:17Afisa mmoja wa Marekani amekiri kuwa katika muda wa siku 81 zilizopita, ngome na vituo vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115.
-
Al Hashd al-Shaabi: Iran ilikuwa na nafasi kubwa katika kuihami Baghdad dhidi ya ISIS
Dec 31, 2023 08:13Mkuu wa harakati ya mapambano ya Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al-Shaabi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa na nafasi muhimu katika kuihami na kuiunga mkono serikali ya Iraq katika kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Baghdad: Mashambulizi ya US yamekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq
Dec 26, 2023 23:23Serikali ya Baghdad imelaani vikali mashambulizi dhidi ya kambi tatu za Harakati ya Kataib Hizbullah nchini Iraq yaliyofanywa na vikosi vamizi vya Marekani kwa amri ya Rais Joe Biden na kueleza kuwa, hujuma hizo hazikubaliki na zimekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Amir-Abdollahian: Kuna haja ya kuimarishwa harakati za kidiplomasia ili kukabiliana na jinai za Wazayuni
Dec 25, 2023 03:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kuimarishwa juhudi za kidiplomasia kwa shabaha ya kukabiliana na jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Gaza.