-
Iran yalaani mashambulizi ya anga ya Uturuki katika ardhi ya Iraq
Apr 26, 2017 23:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya anga ya Uturuki huko Iraq na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa mamlaka ya kitaifa na umoja wa ardhi ya Iraq.
-
Nguruwe mwitu wenye hasira waua magaidi wa ISIS nchini Iraq
Apr 26, 2017 08:41Magaidi watatu wa kundi la kitakifiri la ISIS au Daesh wameuawa na nguruwe mwitu waliokuwa na hasira katika eneo la kaskazini mwa Iraq.
-
Asilimia 70 ya maeneo ya magharibi mwa Mosul yamekombolewa kutoka kwa magaidi
Apr 25, 2017 03:40Kamanda wa oparesheni ya jeshi la Iraq ametangaza habari ya kukombolewa asilimia 70 maeneo ya magharibi mwa mji wa Mosul yaliyokuwa yakishikiliwa na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Mamilioni waadhimisha kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Kadhim AS, Baghdad
Apr 24, 2017 03:46Mamilioni ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wamekusanyika katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Musa Kadhim AS, mmoja wa watu wa nyumba toharifu ya Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Naibu mwingine wa Abu Bakr al-Baghdadi, mkuu wa Daesh auawa kwa kombora Mosul
Apr 19, 2017 11:32Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kumuangamiza naibu mkuu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika operesheni iliyofanyika magharibi mwa mji wa Mosul hii leo.
-
Safari ya Al-Hakim mjini Cairo; ustawishaji wa kimalengo wa uhusiano wa Misri na Iraq
Apr 19, 2017 02:40Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq jana Jumanne ya tarehe 18 Aprili alielekea nchini Misri kwa mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hiyo.
-
Jordan: Waliohusika na kuwadhalilisha shakhsia wa Iraq watawachukuliwa hatua kali
Apr 17, 2017 03:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan amemuhakikishia Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq kwamba, watu waliohusika na kuwavunjia heshima shakhsia muhimu wa Iraq, wametiwa mbaroni na kwamba watafikiishwa mbele ya vyombo vya sheria.
-
Jeshi la Iraq: Magaidi wa Daesh magharibi mwa Mosul wamezingrwa pande zote
Apr 15, 2017 09:39Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, amesema kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamezingirwa tokea pande zote za mji huo.
-
Magaidi 52 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Iraq, Mosul
Apr 13, 2017 02:46Jeshi la Iraq limewaangamiza wanachama 52 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS katika operesheni za kusafisha eneo la magharibi mwa mkoa wa Mosul.
-
Brigedia Jenerali Rasool: Daesh inadhibiti chini ya 7% ya ardhi ya Iraq
Apr 11, 2017 23:22Jeshi la Iraq limesema idadi ya ngome zilizokuwa zikidhibitiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini humo imedidimia kutoka asilimia 40 hadi chini ya asilimia 7 katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.