-
Ripoti: Genge la Daesh linawashikilia Mayazidi 3500 wa Iraq
Nov 25, 2016 04:28Kiongozi wa ofisi ya kufuatilia masuala ya raia wa Iraq wa kabila la Yazidi amesema kuwa, hadi sasa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wanawashikilia mateka watu wa kabila hilo wapatao 3500.
-
Jaafari: Thuluthi moja ya Mosul imekombolewa na vikosi vya Iraq
Nov 22, 2016 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema jeshi la nchi hiyo likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi vimefanikiwa kukomboa thuluthi moja ya mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Jeshi la Iraq lawatimua waandishi habari wa Saudia kutoka maeneo ya medani za kivita kwa upotoshaji
Nov 21, 2016 10:48Jeshi la Iraq limetoa amri ya kuondolewa waandishi wote wa habari wa gazeti la Asharq Al-Awsat linalochapishwa nchini Saudia kutokana na vitendo vyao vya upotoshaji na kuwavunjia heshima wanawake wa Iraq katika maeneo ya operesheni za jeshi hilo na harakati ya wananchi.
-
Jahangiri: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi
Nov 20, 2016 23:31Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi.
-
Zaidi ya Waislamu milioni 20 waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein, Karbalaa Iraq
Nov 20, 2016 12:44Marasimu ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam al-Hussein (as) mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) yamewakutanisha pamoja Waislamu wa Kisuni na Kishia zaidi ya milioni 20 kutoka ndani na nje ya Iraq mjini Karbala.
-
Wairani waungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 20, 2016 04:47Wananchi wa matabaka yote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, aliyeuawa shahidi katika jangwa la Karbala nchini Iraq, mwaka wa 61 Hijria.
-
Jeshi la Iraq lakomboa kusini mwa Mosul, magaidi 950 wauawa
Nov 19, 2016 12:13Jeshi la Iraq limetangaza kukomboa eneo la kusini mwa mji wa Mosul na kuwaangamiza magaidi zaidi ya 950 wa kundi la kitakfiri la ISIS waliokuwa wanashikilia eneo hilo.
-
Al Abadi: Wanajeshi wa Iraq wamo ndani ya mji wa Mosul hivi sasa
Nov 16, 2016 04:15Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wameshaingia katika mji wa Mosul na hivi sasa wanapambana na magaidi wa Daesh ndani ya mji huo.
-
HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul
Nov 12, 2016 04:20Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanatumia silaha za kemikali kaskazini mwa mji wa Mosul nchini Iraq.
-
UN: Daesh imeua makumi ya raia eneo la Hammam al-Alil, Iraq
Nov 12, 2016 00:37Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limeua kwa umati makumi ya raia wa Iraq katika eneo la Hammam al-Alil lililoko kilomita 17 kutoka kwenye mji unaozingirwa na vikosi vya jeshi la Iraq wa Mosul.