-
Jeshi la Iraq lakomboa visima 100 vya mafuta kusini mwa Mosul
Oct 19, 2016 01:01Vikosi vya Iraq vimefanikiwa kukomboa visima 100 vya mafuta kusini mwa mji wa Mosul, katika operesheni maalumu ya kuukomboa mji huo kutoka mikononi mwa mgaidi wa Daesh.
-
Iraq: Nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, wafadhili wa Daesh
Oct 18, 2016 03:38Waziri Mkuu wa Iraq amesema nchi kadhaa za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi zinaliunga mkono na kulifadhili kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, linalofanya jinai za kutisha nchini humo na Syria.
-
Magaidi zaidi waangamizwa katika mkoa wa Salahuddin nchini Iraq
Oct 17, 2016 12:23Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kushadidisha mashambulizi yake katika mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Operesheni za kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa Daesh zaanza
Oct 17, 2016 04:39Mashambulizi ya kila upande ya jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati za wanchi kwa ajili ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) zimeanza rasmi.
-
Wabunge Iraq wapinga kuweko kijeshi Uturuki huko Iraq
Oct 16, 2016 04:36Wabunge wa Iraq wametaka Uturuki iwekewe vikwazo kama radiamali kwa kuwepo wanajeshi wa nchi hiyo huko Iraq.
-
Iraq yamjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia
Oct 14, 2016 11:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imeyataja matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia dhidi ya vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Iraq kuwa hayana maana na kusema kwamba, vikosi hivyo ni fakhari kwa Wairaqi.
-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 04:39Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa Daesh zinakaribia
Oct 04, 2016 22:55Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amewaambia watu wa mji wa Mosul kuwa zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh zinakaribia.
-
Kinara wa ISIS (Daesh) mahututi baada ya kupewa 'sumu' Iraq
Oct 03, 2016 11:32Kinara wa kundi la kitakfiri na kigaidi la ISIS (Daesh), Ibrahim al Sammarai, maarufu kama Abu Bakr al-Baghdadi, amepewa sumu akiwa pamoja na makamanda wengine wa kundi hilo katili.
-
Wakimbizi wa Iraq warejea katika makazi yao
Oct 03, 2016 10:48Malefu ya familia za wakimbizi Wairaqi zimerejea katika makazi yao hapo awali baada amani na utulivu kurejea katika baadhi ya maeneo ya Iraq.