Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Iraq yanasa magaidi waliopanga kutekeleza mashambulizi wakati wa Muharram

    Iraq yanasa magaidi waliopanga kutekeleza mashambulizi wakati wa Muharram

    Oct 03, 2016 00:30

    Wanachama wa kundi moja la kigaidi lililokuwa limepanga kufanya mashambulizi ya kigaidi katika mwezi wa Muharram wamekamatwa magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

  • Katibu Mkuu wa Muqawama Iraq: Syria ni mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya magaidi matakfiri

    Katibu Mkuu wa Muqawama Iraq: Syria ni mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya magaidi matakfiri

    Sep 18, 2016 23:45

    Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu wa Nujabaul-Iraq, amesema kuwa Syria ni mstari wa mbele wa muqawama dhidi ya makundi ya ukufurishaji.

  • Magaidi 100 wa Daesh wauawa katika mashambulio ya anga nchini Iraq

    Magaidi 100 wa Daesh wauawa katika mashambulio ya anga nchini Iraq

    Sep 10, 2016 09:34

    Wanachama wasiopungua 100 wa kundi la kigaidi la Daesh wameuawa nchini Iraq kufuatia mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kijeshi za nchi hiyo katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Makosa tuliyofanya Iraq tusije tukayarudia Syria

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Makosa tuliyofanya Iraq tusije tukayarudia Syria

    Sep 08, 2016 03:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Ben Johnson amesema, katika kutafuta njia mwafaka ya utatuzi wa mgogoro wa Syria inapasa kuchukua hadhari ya kutorudia makosa yaliyofanywa katika vita vya Iraq.

  • Hillary Clinton: Nasikitika sana kuunga mkono hujuma za US dhidi ya Iraq

    Hillary Clinton: Nasikitika sana kuunga mkono hujuma za US dhidi ya Iraq

    Sep 08, 2016 09:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani nchini Marekani, Hillary Clinton ameonyesha masikitiko yake juu ya kile alichosema ni kuunga kwake mkono hujuma za nchi yake dhidi ya Iraq hapo mwaka 2003.

  • Safari ya kutia shaka ya ujumbe wa Marekani nchini Iraq

    Safari ya kutia shaka ya ujumbe wa Marekani nchini Iraq

    Sep 04, 2016 23:54

    Kanali ya televisheni ya al-Ittijah ya Iraq imeripoti habari ya safari ya ujumbe wa Marekani mjini Baghdad siku chache tu baada ya kuarifishwa balozi mpya wa nchi hiyo huko Iraq.

  • Mahusiano ya Saudia na Iraq baada ya kutimuliwa Thamer Al-Sabhan, balozi mchochezi wa Saudia

    Mahusiano ya Saudia na Iraq baada ya kutimuliwa Thamer Al-Sabhan, balozi mchochezi wa Saudia

    Aug 30, 2016 02:48

    Kufuatia matamshi ya uchochezi na uingiliaji wa mambo ya ndani unaofanywa na balozi wa Saudia nchini Iraq, Thamer Al-Sabhan, serikali ya Baghdad imeiandikia barua rasmi Riyadh kuitaka kumchagua mtu mwingine atakayechukua nafasi ya balozi huyo.

  • Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya

    Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya

    Aug 18, 2016 22:21

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kukomboa kisiwa cha Khalidiya, kilichopo mashariki mwa mji wa Ramadi, magharibi mwa mkoa wa Anbar.

  • Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh

    Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh

    Aug 11, 2016 03:27

    Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump amesema kuwa, Rais Barack Obama na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo Hillary Clinton ndio walioanzisha kundi la kigaidi la Daesh.

  • Waziri Mkuu wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada wa washauri wa kijeshi

    Waziri Mkuu wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada wa washauri wa kijeshi

    Aug 10, 2016 23:19

    Waziri Mkuu wa Iraq ameishukuru Iran kwa uungaji mkono wa washauri wake wa kijeshi kwa vikosi vya nchi hiyo na kueleza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran wapo Iraq kufuatia ombi la serikali ya Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS