Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mwanamfalme wa Saudia akerwa na Palestina kupinga uhusiano na Israel

    Mwanamfalme wa Saudia akerwa na Palestina kupinga uhusiano na Israel

    Oct 07, 2020 01:16

    Mkuu wa zamani wa Idara ya Ujasusi ya Saudi Arabia amewakosoa vikali viongozi wa Palestina kwa kupinga hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel kunaupa hisia ya kinga utawala huo

    Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel kunaupa hisia ya kinga utawala huo

    Oct 01, 2020 04:16

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amelaani hatua ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, mienendo hiyo haitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuufanya utawala huo wa Kizayuni ujihisi umepata kinga zaidi ya kutowajibishwa.

  • Imarati na Israel; upotoshaji mambo katika kivuli cha kuanzisha migogoro Asia Magharibi

    Imarati na Israel; upotoshaji mambo katika kivuli cha kuanzisha migogoro Asia Magharibi

    Oct 01, 2020 03:56

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wamelitumia jukwaa la kila mwaka la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutoa tuhuma za kukakariwa na zisizo na jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Baraza la Fiqhi la Sudan laharamisha kuanzisha uhusiano na Israel

    Baraza la Fiqhi la Sudan laharamisha kuanzisha uhusiano na Israel

    Sep 30, 2020 23:42

    Baraza la Fiqhi ya Kiislamu la Sudan limesema kuwa haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • UN: Israel imebomoa zaidi ya nyumba 500 za raia wa Wapalestina

    UN: Israel imebomoa zaidi ya nyumba 500 za raia wa Wapalestina

    Sep 29, 2020 03:30

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya nyumba mia tano za raia wa Palestina.

  • HAMAS yaipa Israel miezi 2 ihitimishe mzingiro wa Gaza

    HAMAS yaipa Israel miezi 2 ihitimishe mzingiro wa Gaza

    Sep 22, 2020 22:05

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeupa utawala wa Kizayuni wa Israel muhula wa miezi miwili wa kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Wall Street Journal: Mfalme Salman ametofautiana na mrithi wake kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel

    Wall Street Journal: Mfalme Salman ametofautiana na mrithi wake kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel

    Sep 19, 2020 22:08

    Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limefichua kuwa, kumetokea hitilafu kubwa na kali baina ya Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia na mrithi wake, Muhammad bin Salman baada ya mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.

  • "Muqawama hauna mistari myekundu katika vita dhidi ya Israel"

    Sep 17, 2020 03:41

    Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema muqawama ni chaguo la Wapalestina wote dhidi ya utawala wa Kizayuni, na kwamba makundi ya mapambano hayana mistari myekundu katika vita dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki

    Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki

    Sep 15, 2020 02:59

    Mahakama moja katika utawala wa Kizayuni wa Israel imetoa amri ya kubomolewa msikiti mmoja ulioko mashariki wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.

  • Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Sep 15, 2020 02:58

    Waziri Mkuu wa Palestina amesema ulimwengu wa Kiarabu leo Jumanne utashuhudia 'Siku Nyeusi' katika historia yake, kutokana na hafla itakayofanyika hii leo katika Ikulu ya White House ya Marekani ya kutiwa saini rasmi makubaliano ya kufanywa wa kawaida uhusiano wa nchi mbili za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS