-
Israel: Jeshi letu la anga haliwezi kukabiliana na makombora ya muqawama
Apr 06, 2019 21:55Kituo cha Utafiti wa Usalama wa Taifa cha utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiri katika ripoti yake maalumu kwamba jeshi la anga na taasisi za kijasusi za utawala huo, hazina uwezo wa kukabiliana na makombora ya wanamuqawama wa Kiislamu.
-
Sheikh Issa Qassim alaani mpango wa kukaribishwa Wazayuni Bahrain
Apr 03, 2019 10:22Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Sheikh Isa Qassim amekosoa vikali hatua ya kualikwa Wazayuni kwenye Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kufanyika katikati ya mwezi huu wa Aprili nchini humo.
-
Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia
Apr 02, 2019 03:01Kuingia madarakani Rais Jair Bolsonaro huko Brazil ambaye alianza kazi yake rasmi mwezi Januari mwaka huu wa 2019 kumepokewa kwa hisia tofauti.
-
Afisa wa serikali afukuzwa kazi kwa kutaka Somalia iwe na uhusiano na Israel
Apr 01, 2019 20:25Serikali ya Somalia imempiga kalamu nyekundu Mkurugenzi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo, kwa kutoa mwito wa kuwepo uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wabunge wa Bahrain wakosoa kualikwa Wazayuni katika Kongamano la Biashara
Apr 01, 2019 10:32Wabunge wa Bahrain wamekosoa vikali hatua ya kualikwa wazungumzaji kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kufanyika katika kipindi cha wiki mbili zijazo nchini humo.
-
Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni
Mar 31, 2019 22:23Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.
-
Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria
Mar 31, 2019 22:21Ikiwa ni katika kuendelea kujikomba kwa lobi za Kizayuni, rais wa Marekani Donald Trump, tarehe 25 Machi, 2019 alitambua rasmi kumilikiwa na Israel milima ya Golan ya Syria.
-
Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'
Mar 31, 2019 03:19Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel
Mar 30, 2019 22:42Mamia ya watu wamejitokeza katika barabara za London, mji mkuu wa Uingereza kushiriki maandamano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Askari wa Israel waua shahidi Wapalestina wawili katika maandamano Ghaza
Mar 30, 2019 11:20Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua shahidi Wapalestina wawili na kuwajeruhi wengine kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati wa maandamano ya amani yaliyoitishwa kwa lengo la kuadhimisha kuanza 'Maandamano Makubwa ya Kurejea' na 'Siku ya Ardhi ya Palestina.'