Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • 2019, mwaka wa kushtadi ukatili na hatua za kibeberu na za kujipanua za Israel

    2019, mwaka wa kushtadi ukatili na hatua za kibeberu na za kujipanua za Israel

    Feb 06, 2019 23:25

    Sera za ukandamizaji za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina, ambazo zimeshtadi na kupamba moto tangu ulipoanza mwaka mpya wa 2019, zimechukua muelekeo mpana na hatari zaidi katika siku za hivi karibuni.

  • Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Feb 06, 2019 03:34

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria.

  • Mtandao wa Kijasusi wa utawala  wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

    Mtandao wa Kijasusi wa utawala wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

    Feb 03, 2019 21:35

    Mtandao mmoja wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel umeashiria kuzinduliwa kombora jipya la Iran na kukiri kuwa: "Kwa mtazamo wa kijeshi, Iran sasa inaishinda Israel na Marekani."

  • Harakati za Israel za kushadidisha jinai katika maeneo ya Wapalestina

    Harakati za Israel za kushadidisha jinai katika maeneo ya Wapalestina

    Feb 03, 2019 09:24

    Baada ya utawala haramu wa Israel kulitimua kutoka katika mji wa al-Khalil huko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kundi la waangalizi wa kimataifa, Kuwait imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitisha kikao cha dharura kuhusiana na kadhia hiyo.

  • Jeshi la Israel limeua shahidi Wapalestina 11 mwezi mmoja uliopita

    Jeshi la Israel limeua shahidi Wapalestina 11 mwezi mmoja uliopita

    Feb 01, 2019 23:17

    Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina 11 katika mwezi uliopita wa Januari.

  • Marekani yashindwa kuzuia uteuzi wa Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN

    Marekani yashindwa kuzuia uteuzi wa Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN

    Jan 31, 2019 22:51

    Jarida la Marekani la Foreign Policy limefichua kwamba, kabla ya kuteuliwa Michelle Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Marekani ilifanya jitihada kubwa za kuzuia uteuzi huo lakini jitihada hizo zimeambulia patupu.

  • Malaysia yasisitiza tena kutoruhusu wanamichezo wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi hiyo

    Malaysia yasisitiza tena kutoruhusu wanamichezo wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi hiyo

    Jan 26, 2019 10:43

    Waziri Mkuu wa Malaysia, amesisitiza tena msimamo wa nchi yake wa kutowaruhusu wanamichezo wa timu ya kuogelea ya utawala wa Kizayuni wa Israel kukanyaga ardhi ya Malaysia ili kushiriki mshindano ya dunia ya kuogelea; na akaongeza kwamba: Wanamichezo wa Israel wanatokana na utawala mdanganyifu, na watu wa Malaysia hawawapendi watu wadanganyifu.

  • Jenerali Mzayuni akiri uwezo wa kijeshi wa Syria licha ya vita vya ndani vya miaka mingi

    Jenerali Mzayuni akiri uwezo wa kijeshi wa Syria licha ya vita vya ndani vya miaka mingi

    Jan 24, 2019 12:26

    Jenerali mmoja mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amewataka viongozi wa utawala huo wasidharau tahadhari iliyotolewa na Syria kwamba kama Israel itaendelea kufanya mashambulizi nchini humo, basi Syria nayo itajibu kwa kuushambulia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.

  • Utawala haramu wa Israel, mlezi wa ugaidi

    Utawala haramu wa Israel, mlezi wa ugaidi

    Jan 24, 2019 08:56

    Kamanda wa jeshi la Lebanon ametangaza habari ya kutiwa mbaroni mamluki wa kigeni wa Shirika la Kijasusi la utawala haramu wa Israel (MOSSAD) ambaye alihusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya Muhammad Omar Hamdan, mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika mji wa Saida, Lebanon.

  • Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Jan 24, 2019 00:35

    Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS