Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel

    Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel

    Jan 23, 2019 04:23

    Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) aliyehusika katika shambulizi la bomu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Harakati ya Nujabaa Iraq: Kuwekewa vikwazo muqawama ni matokeo ya kufeli njama za Marekani

    Harakati ya Nujabaa Iraq: Kuwekewa vikwazo muqawama ni matokeo ya kufeli njama za Marekani

    Jan 22, 2019 11:41

    Kiongozi wa Baraza la Kisiasa la Muqawama wa Kiislamu la Harakati ya Nujabaa nchini Iraq amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya muqawama, vinaonyesha kufeli njama za Washington katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria

    Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria

    Jan 22, 2019 04:03

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina zimelaani mashambulizi mapya ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.

  • Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka

    Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka

    Jan 19, 2019 12:04

    Benny Morris, mwanahistoria mashuhuri wa Kizayuni amesema: Hadi miaka 30 ijayo Israel haitakuwepo tena, na Wazayuni watageuka kuwa jamii ndogo ya wachache.

  • Wimbi jipya la mauaji ya Israel dhidi ya watoto wa Palestina

    Wimbi jipya la mauaji ya Israel dhidi ya watoto wa Palestina

    Jan 16, 2019 23:14

    Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu cha Mizan kimetangaza kuwa, watoto 50 wa Kipalestina waliuawa kwa kupigwa risasi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2018 na wengine elfu 2 na 890 wamejeruhiwa.

  • Onyo la Wapalestina kwa Israel kuhusiana na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa

    Onyo la Wapalestina kwa Israel kuhusiana na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa

    Jan 16, 2019 00:57

    Hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiislamu umeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kwa baraka za viongozi wa utawala ghasibu wa Israel.

  • Onyo la Russia kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Onyo la Russia kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Jan 14, 2019 23:11

    Balozi wa Russia mjini Beirut ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria kwa kutumia visingizio mbalimbali.

  • Syria yatungua makombora ya Israel yaliyoelekezwa Damascus

    Syria yatungua makombora ya Israel yaliyoelekezwa Damascus

    Jan 12, 2019 04:16

    Jeshi la Syria limetoa jibu kali kwa uvamizi mpya wa Israel, baada ya utawala huo wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi ya makombora viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.

  • Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina

    Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina

    Jan 12, 2019 04:10

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi kwa kumpiga risasi mwanamke wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza

    Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza

    Jan 11, 2019 23:24

    Katika kile kinachoonekana ni kushadidisha ukatili dhidi ya Wapalestina, utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kunyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya kilimo ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS