-
Bahrain, Israel zaongoza kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa duniani
Jul 02, 2018 03:21Mbunge wa zamani wa Bahrain amesema nchi hiyo ya Kiarabu ndiyo inayoongoza kwa kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa duniani.
-
Waandamanaji wa Kipalestina watungua drone ya Israel
Jul 01, 2018 02:49Waandamanaji wa Kipalestina wamedondosha ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni wa Israel, katika Ukanda wa Gaza.
-
Indonesia: Hakuna mazungumzo ya siri tuliyoyafanya na Israel
Jun 29, 2018 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia imekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala haramu wa Kizayuni kwamba serikali ya nchi hiyo imefanya mazungumzo ya siri na utawala huo kwa ajili ya kuondolewa marufuku inayowazuia Wazayuni kufanya safari nchini Indonesia.
-
Silaha za Israel zakutwa katika maeneo yaliyokombolewa huko Daraa, Syria
Jun 29, 2018 10:43Jeshi la Syria limenasa maghala kadhaa ya silaha na zana za kivita ambazo baadhi yake zimeundwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wakuu wa ujasusi wa nchi za Kiarabu na Israel wafanya mkutano wa siri
Jun 29, 2018 02:59Tovuti ya habari ya Ufaransa imefichua kuhusu mkutano wa siri kati ya wakuu wa idara za kijasusi za nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kushtadi ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani
Jun 23, 2018 08:33Wapalestina 206 wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ijumaa ya 13 ya maandamano ya Haki ya Kurejea chini ya anwani ya " Ijumaa ya Kuonyesha Mshikamano kwa Majeruhi".
-
Mke wa Netanyahu afunguliwa kesi ya ufisadi wa kifedha
Jun 21, 2018 09:24Mke wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefunguliwa rasmi faili la kesi ya ufisadi wa kifedha.
-
Iraq yazionya Marekani na Israel juu ya madhara ya kukariri hujuma zao dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi
Jun 21, 2018 09:19Makamu wa Rais wa Iraq, Nouri al-Maliki ameionya Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kukariri mashambulizi yao ya anga dhidi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi na kusisitiza kwamba kitendo hicho ni cha kijinga ambacho kitachochea migogoro katika eneo.
-
Dunia yaikosoa Marekani kwa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN
Jun 19, 2018 23:03Jamii ya kimataifa imeikosoa vikali Marekani kwa hatua yake ya kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ikilituhumu baraza hilo kuwa ni la kinafiki na eti limekuwa likichukua maamuzi yaliyo dhidi ya Israel.
-
Indhari kuhusu uingiliaji wa utawala haramu wa Kizayuni eneo la Darfur, Sudan
Jun 17, 2018 22:02Chama cha Kongresi ya Kitaifa nchini Sudan kimetahadharisha kuhusiana na uingiliaji wa utawala haramu wa Israel eneo la Darfur huko Sudan kwa lengo la kuibua machafuko nchini humo.