Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Jan 28, 2025 04:33

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.

  • Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84

    Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84

    Jan 26, 2025 22:56

    Washington imesema mabomu 1,800 ya MK-84 yaliyohifadhiwa Marekani yatasafirishwa na kupelekewa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku chache zijazo.

  • "Hatutajadili mamlaka ya Lebanon", asema Rais Aoun baada ya Israel kuua Walebanon 15

    Jan 26, 2025 22:55

    Rais wa Lebanon, Joseph Aoun amesema "mamalaka ya kujitawala Lebanon na ardhi yake ni jambo lisiloweza kujadiliwa". Amesema hayo baada ya vikosi vya Israel kuwafyatulia risasi na kuwaua Walebanon waliokuwa wamekimbia makazi yao kusini mwa Lebanon na waliokuwa wakirejea katika miji yao, huku muhula wa mwisho wa kuondoka askari hao makatili ukimalizikka.

  • Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon

    Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon

    Jan 25, 2025 08:05

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai ya Israel kamba Jamhuri ya Kiislamu inasafirisha kimagendo silaha kwenda Lebanon.

  • Israel yaifungisha virago UNRWA, yataka iondoke Quds kufikia Januari 30

    Israel yaifungisha virago UNRWA, yataka iondoke Quds kufikia Januari 30

    Jan 25, 2025 08:04

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umesema kuwa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) lina hadi mwisho wa mwezi huu wa Januari kuondoka katika mji mtukufu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.

  • Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Jan 23, 2025 04:19

    Wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wengine wawili katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, wakati wakiendelea na kampeni ya kijeshi ambayo imeifanya kambi ya wakimbizi ya Jenin "kutoweza kukalika".

  • Kimbunga cha al-Aqsa chamsomba Mkuu wa Majeshi ya Israel

    Kimbunga cha al-Aqsa chamsomba Mkuu wa Majeshi ya Israel

    Jan 21, 2025 23:56

    Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Israel, Herzi Halevi ametangaza kujiuzulu kufuatia kushindwa kwake kuzima Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa dhidi ya utawala huo haramu.

  • Hamas 'yajiweka sawa' baada ya Israel kufanya shambulio la kinyama Jenin

    Hamas 'yajiweka sawa' baada ya Israel kufanya shambulio la kinyama Jenin

    Jan 21, 2025 23:20

    Wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi Wapalestina kumi na kuwajeruhi wengine 35 katika shambulio dhidi ya mji unaokaliwa kwa mabavu wa Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, na kupelekea Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas kutoa wito kwa vijana wa Kipalestina kujikusanya na kujiandaa kujibu uchokozi huo wa vikosi vamizi vya Wazayuni.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Muqawama wa Palestina umeilazimisha Israel kurudi nyuma

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Muqawama wa Palestina umeilazimisha Israel kurudi nyuma

    Jan 16, 2025 07:47

    Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Imam Ali Khamenei ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii na kuandika: Subira na kusimama kidete kwa wananchi na Muqawama wa Wapalestina vimeulazimisha utawala wa Kizayuni kurudi nyuma.

  • Hamaki ya Tel Aviv dhidi ya matamshi ya Papa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni

    Hamaki ya Tel Aviv dhidi ya matamshi ya Papa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni

    Dec 26, 2024 10:08

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imemwita balozi wa Vatican katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa ajili ya kusailiwa. Ni baada ya Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kukosoa vita na mauaji ya Israel katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS