-
Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina
Jul 25, 2024 03:41Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International imeonya Marekani kuhusu kuupa silaha utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza na kutangaza kuwa, Washington ni mshirika wa utawala huo katika mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Maelfu waandamana Washington kupinga ziara ya Netanyahu ; wataka kusitishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Jul 24, 2024 23:47Maelfu ya watu wakiwemo Wayahudi wa Kimarekani jana waliandamana katika mji wa Washington wakati Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Israel alipokuwa akihutubua katika kikao cha pamoja cha Bunge la Kongresi ya Marekani.
-
Pakistan yamtangaza rasmi Netanyahu kuwa ni gaidi, yaitaka Jamii ya Kimataifa nayo pia ifanye hivyo
Jul 23, 2024 03:02Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni, ni "gaidi".
-
Hatimaye utawala wa Kizayuni wakiri kuwa umeua mateka wake Ghaza
Jul 23, 2024 03:02Baada ya siku 290 za vita, hatimaye jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa makumi ya mateka wa Kizayuni wameuliwa katika ukanda wa Ghaza na askari wa utawala huo.
-
Yemen yashambulia Bandari ya Eilat kwa makombora ya balestiki
Jul 21, 2024 07:33Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimeipiga kwa makombora ya balestiki Bandari ya Eilat, kusini ya maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika operesheni ya kulipiza kisasi.
-
Riyadh yaipongeza ICJ kuvitaja vitongoji vya Wazayuni kuwa haramu
Jul 20, 2024 04:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuvitaja vitongoji ya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kuwa ni kinyume cha sheria.
-
HAMAS, Jihadul Islami zaitaka PLO iache kuitambua Israel
Jul 19, 2024 07:38Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za HAMAS na Jihadul Islami zimeitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina ibatilishe uamuzi wake wa kuutambua utawala haramu wa Israel.
-
Jeshi la Yemen laipiga Tel Aviv kwa droni mpya ya 'Yafa', taharuki yatanda
Jul 19, 2024 07:21Mtu mmoja ameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel kushindwa kutungua shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) lililofanywa na jeshi la Yemen dhidi ya mji wa bandari wa Yafa (Tel Aviv) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, viungani mwa Tel Aviv.
-
Iran yalitaka Baraza la Usalama liilazimishe Israel ikomeshe mauaji ya kimbari Gaza
Jul 17, 2024 23:32Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kivitendo za kuulazimisha utawala wa Kizayuni ukomeshe 'mara moja na bila masharti yoyote' mauaji ya kimbari unaoyafanya dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Bagheri Kani: Marekani ni kikwazo kikuu katika kuhitimisha mauaji ya kimbari ya Israel Ukanda wa Gaza
Jul 17, 2024 00:11Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameishutumu Marekani kwa vita vya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza. Ali Bagheri Kani amesisitiza umuhimu wa kushirikiana pande kadhaa ili kurejesha amani na utulivu duniani.