-
Araqchi: Kuimarisha uhusiano na nchi zote ni sera ya serikali ya Iran
Aug 29, 2024 07:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema sera ya serikali ya 14 ya Iran ni kupanua uhusiano na nchi zote za dunia hususan nchi za Asia Mashariki.
-
Japan yasema itaitambua Palestina kwa 'njia kamilifu'
Aug 15, 2024 02:45Serikali ya Japan imesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, inatathmini suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.
-
Japan inatafakari kulitambua rasmi taifa huru la Palestina
Jul 14, 2024 06:48Serikali ya Japan imefichua kuwa, inatathmini kwa uzito mkubwa suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.
-
Amir-Abdollahian: Mgogoro wa Asia Magharibi umesababishwa na mashambulizi ya Israel
Apr 17, 2024 06:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan na kusisitiza kuwa, mgogoro uliopo katika eneo la Asia Magharibi hivi sasa umesababishwa na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali
Mar 31, 2024 11:28Wananchi huko Italia, Norway, Marekani, Japan na Morocco kwa mara nyingine tena wameandamana kulaani mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina yanayofanywa na wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka Japan tangu Israel ilipoanza kuishambulia kijeshi Ghaza
Mar 07, 2024 12:00Mwanaakademia wa Kijapan, Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Waislamu nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
-
Iran yaicharaza Japan 2-1 na kutinga nusu fainali ya Kombe La Asia
Feb 03, 2024 14:49Mkwaju wa penalti wa dakika za mwisho wa Alireza Jahanbakhsh uliipa Iran ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Japan Jumamosi na kuiwezesha timu hii ya taifa ya soka ya Iran kutinga nusu fainali ya Kombe la Asia kwa mara ya pili tangu 2004.
-
Tahadhari ya tsunami baada ya zilzala yenye ukubwa wa 7.6 kuipiga Japan
Jan 01, 2024 11:54Idara ya Hali ya Hewa ya Japan imeonya kuwa, kuna tishio la kutokea kwa mawimbi makubwa ya tsunami nchini humo kufuatia tetemeko la ardhi lililokuwa na ukubwa wa 7.6 kwa kipimo cha rishta.
-
Iran: Haiwezekani kabisa kuuvunja nguvu muqawama
Dec 20, 2023 11:14Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, harakati ya muqawama ni uhakika wa kieneo ambao ndio unaoleta utulivu na usalama katika ukanda huu mzima na ndiyo nguvu inayopambana kikweli na vitendo vya kigaidi na magenge ya ukufurishaji.
-
Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana
Sep 08, 2023 03:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Japan na nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Ndogo na Tomb Kubwa na kusisitiza kuwa taarifa hiyo haina umuhimu wowote.