-
Dakta Zarif: Tunataka kuufikisha uhusiano wa Iran na China katika kiwango cha kiistratejia
Dec 05, 2016 06:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano wa kiistratejia baina ya Iran na China.
-
Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 12, 2016 04:43Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif ameonya kuwa iwapo rais mteule wa Marekani atakiuka mapatano ya nyuklia, basi Iran ina machaguo mengine ya kukabiliana na hali hiyo.
-
Zarif: Msaada wa kibinadamu kwa Yemen na Syria, jambo la dharura
Nov 10, 2016 14:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema msaada wa kibinadamu kwa ajili ya watu wa Yemen na Syria ni jambo la dharura.
-
Zarif: Trump anapasa kuwa na ufahamu sahihi wa ukweli wa mambo katika eneo na ulimwenguni kwa ujumla
Nov 10, 2016 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka rais mpya wa Marekani kuelewa ipasavyo uhakika wa mambo katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla.
-
Zarif: Muqawama umesambaratisha njama za magaidi Lebanon
Nov 08, 2016 07:30Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema harakati za kimuqawama ndizo zimesambaratisha njama za maadui na magaidi nchini Lebanon.
-
Zarif: Kubaki tawala za baadhi ya nchi kumefungamana na utegemezi wao kwa Marekani
Sep 25, 2016 15:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema tawala za baadhi ya nchi za eneo zinahisi uhalali wao na kuendelea kubaki kwao kunategemea bawa la hifadhi na uungaji mkono wa Marekani.
-
Zarif awasili nchini Nicaragua
Aug 23, 2016 08:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewasili Managua mji mkuu wa Nicaragua katika safari yake ya pili katika ziara yake ya kiduru katika nchi sita za Amerika ya Latini.
-
Zarif: Kustawisha uhusiano na Amerika ya Latini ni katika utekelezaji malengo ya Uchumi wa Muqawama
Aug 22, 2016 15:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema kustawisha uhusiano na nchi za Amerika ya Kusini ni katika kufanikisha malengo ya Uchumi wa Muqawama.
-
Kuanza ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran huko Amerika ya Latini
Aug 21, 2016 08:04Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo asubuhi ameondoka mjini Tehran katika ziara yake ya kwanza huko Amerika ya Latin huku akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi na kisiasa wa nchi hii. Zarif anazitembela nchi sita za Amerika ya Latini kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya Iran na nchi hizo khususan baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Zarif aipongeza Lebanon kwa kuipigisha magoti Israel
Aug 15, 2016 07:53Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua mwenzake wa Lebanon kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 10 ya ushindi wa nchi hiyo dhidi ya askari vamizi wa utawala haramu wa Israel.