-
Waziri Zarif afanya mazungumzo na Rais wa Uturuki mjini Ankara
Aug 13, 2016 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki huko mjini Ankara katika safari ya kwanza muhimu kufanywa na ujumbe wa ngazi za juu wa kigeni tangu lilipotokea jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
-
Zarif asisitizia azma ya dhati ya Iran na Mali ya kushirikiana kiuchumi
Jul 28, 2016 15:32Waziri wa Mambo ya Nje Muhammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mali zimeazimia kwa dhati kustawisha ushirikiano wa kiuchumi baina yao.
-
Zarif: Marekani ina utendaji dhaifu katika utekelezaji mapatano ya nyuklia na Iran
Jul 19, 2016 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekuwa na utendaji dhaifu katika kufungamana na mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwezi Julai mwaka jana baina ya Iran na madola sita makubwa duniani ya kundi la 5+1.
-
Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa
Jun 23, 2016 15:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro wa Syria unaweza tu kutatuliwa kwa njia ya kisiasa.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Ufaransa ni kwa maslahi ya dunia
Jun 23, 2016 08:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ufaransa na kusema kuwa ushirikiano huo utachangia kuleta amani na uthabiti duniani.
-
Duru ya pili ya ziara ya Zarif barani Ulaya
Jun 13, 2016 11:38Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameanza duru yake ya pili ya safari yake barani Ulaya kwa kuitembelea Norway ambapo anatazamiwa kushiriki kikao cha "Oslo Forum".
-
Zarif na De Mistura wajadili hali na matukio yanayoendelea kujiri nchini Syria
May 17, 2016 07:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif, na Staffan de Mistura, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu matukio yanayoendelea kujiri nchini humo.
-
Zarif: Iran itakabiliana na hatua zisizo za kisheria za Marekani
May 07, 2016 12:52Mohammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameshiriki katika kikao cha wabunge wateule wa bunge la 10 la Iran na kutoa hotuba kuhusu maudhui ya "Utunguaji Sheria, Mahitajio na Mbinu".
-
Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA
Apr 30, 2016 16:17Rais Hassan Rouhani ameutaka Umoja wa Ulaya utoe ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi na kusisitizia ulazima wa kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia (JCPOA).
-
Marekani imepora dola bilioni 2 za Iran: Zarif
Apr 26, 2016 14:26Hatua ya mahakama moja ya Marekani kutoa hukumu ya kuchukua udhibiti wa dola bilioni mbili za Iran zinazozuiliwa nchini humo ni sawa na uharamia.