-
Mazungumzo ya Zarif na Kerry; shaka juu ya mwenendo wa Marekani
Apr 24, 2016 06:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amesema nchi hiyo haitaziwekea vizuizi benki au mashirika ya kigeni yasifanye biashara na mashirika ya Iran ambayo hayakabilwi tena na vikwazo.
-
Zarif na Kerry wajadili njia za kuhakikisha utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia
Apr 20, 2016 03:39Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Marekani wamekutana na kuzungumzia njia za kuhakikisha makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Jamhuri ya Kiislamu na madola sita makubwa duniani yanatekelezwa kama ilivyoafikiwa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea New York
Apr 18, 2016 07:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo asbuhi ameelekea mjini New York Marekani kwa ajili ya kushiriki katika sherehe za kutiwa saini makubaliano ya Mabadiliko ya Tabia- Nchi katika Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa muafaka uliofikiwa mjini Paris Ufaransa.
-
Mogherini: Majaribio ya makombora ya Iran hayakiuki makubaliano ya nyuklia
Apr 16, 2016 16:05Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa majaribio ya makombora ya Iran hayakiuki makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi wanachama wa kundi la 5+1.
-
Mitazamo ya Zarif kuhusu migogoro ya Mashariki ya Kati
Apr 10, 2016 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameliambia shirika la habari la Russia la Tass News Agency kwamba misimamo mikali na ugaidi vinatishia maeneo ya Mashariki ya Kati, Asia ya Kati na Kaukasia.
-
Zarif alaani mashambulizi ya kigaidi ya Ubelgiji
Mar 23, 2016 02:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzo kwa simu na mwenzake wa Ubelgiji akilaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Brussels.
-
Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri
Mar 15, 2016 14:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametaja hatua ya Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria kuwa ni ishara nzuri.
-
Zarif: Ukurasa mpya umefunguliwa katika uhusiano wa Iran na Australia
Mar 15, 2016 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema ukurasa mpya umefunguliwa katika uhusiano wa Iran na Australia.
-
Zarif: Shughuli za uundaji makombora ni moja ya mifano ya uwezo wa kiulinzi
Mar 15, 2016 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza katika radiamali yake kwa madai ya Magharibi dhidi ya majaribio ya makombora ya hivi karibuni kuwa shughuli za uundaji makombora ni moja ya mifano ya uwezo wa kiulinzi ambao Iran unahitajia.
-
Iran na New Zealand kustawisha ushirikiano
Mar 13, 2016 16:33Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na New Zealand wamesisitizia umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili haswa katika uga wa kiuchumi.