-
Zarif akutana na Waziri Mkuu wa Thailand mjini Bangkok
Mar 11, 2016 08:09Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran, Muhammad Javad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Prayut Chan-o-cha, Waziri Mkuu wa Thailand jijini Bangkok, kuhusu uhusiano wa pande mbili.
-
Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni
Mar 07, 2016 16:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni
Mar 07, 2016 16:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zarif: Saudia inachochea machafuko Mashariki ya Kati
Mar 06, 2016 07:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia inalenga kuchochea ghasia na machafuko Mashariki ya Kati.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Oman unastawi katika nyanja zote
Feb 20, 2016 14:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Oman unaendelea kustawi katika nyanja zote.
-
Usalama kwa mtazamo wa Zarif katika Mkutano wa Munich
Feb 14, 2016 01:58Malumbano ya kimadhehebu na misimamo mikali ni tishio kuu kwa eneo na ulimwengu mzima.
-
Zarif: Wasyria wenyewe waamue mustakabali wao
Feb 14, 2016 01:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa uamuzi juu ya serikali ijayo ya Syria uko mikononi mwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Mazungumzo ya Zarif mjini Munich
Feb 13, 2016 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akiwa mjini Munich amefanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu kimataifa kuhusu matukio ya kieneo na dunia.
-
Zarif aonya dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu Magharibi
Feb 06, 2016 07:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea hofu yake kuhusu kuongezeka kwa visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu, chuki dhidi ya Uislamu na ubaguzi dhidi ya Waislamu katika nchi za Magharibi.