Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Haaretz: Iran; ajenda kuu ya mazungumzo ya Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na Netanyahu

    Haaretz: Iran; ajenda kuu ya mazungumzo ya Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na Netanyahu

    Apr 29, 2018 03:19

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeripoti kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ajenda kuu itakayojadiliwa katika mazungumzo kati ya Mike Pompeo Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Iran: Tutasimama kidete kukabiliana na vikwazo vyovyote vile

    Iran: Tutasimama kidete kukabiliana na vikwazo vyovyote vile

    Apr 28, 2018 23:07

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikwazo chochote kitakacholenga manufaa ya Jamhuri ya Kiislamu kitakachoachwa vivi hivi hivi bila ya kutumia uwezo wetu wote kupambana nacho.

  • Kutengwa Marekani katika Muungano wa (NATO) juu ya kadhia ya JCPOA

    Kutengwa Marekani katika Muungano wa (NATO) juu ya kadhia ya JCPOA

    Apr 28, 2018 03:24

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO), Jens Stoltenberg ametoa matamshi yanayokinzana na mtazamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Sayyid Aboutorabi: Kwa miongo yote minne taifa la Iran limepambana vikali na udhalimu

    Sayyid Aboutorabi: Kwa miongo yote minne taifa la Iran limepambana vikali na udhalimu

    Apr 27, 2018 09:20

    Mohammad-Hassan Aboutorabi Fard, khatibu wa swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amezungumzia njama za Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kuharibu makubaliano ya nyuklia (JCPOA) na kusema, kwa miongo minne taifa la Iran limepambana na hatua za kiuhasama na kidhalimu zikiwemo za Marekani.

  • Russia yapinga matamshi ya Trump, Macron kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Russia yapinga matamshi ya Trump, Macron kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Apr 26, 2018 23:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amepinga matamshi yaliyotolewa na Marais wa Marekani na Ufaransa kuhusu suala la kufanyiwa mabadiliko makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Azma ya kimataifa kwa ajili ya kulinda mapatano ya JCPOA

    Azma ya kimataifa kwa ajili ya kulinda mapatano ya JCPOA

    Apr 26, 2018 08:41

    Huku tarehe 12 Mei ikiwa inakaribia, ambayo ni tarehe ya mwisho iliyoainishwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, radiamali na harakati za serikali na viongozi wa kundi la 5+1 kwa ajili ya kulinda mapatano hayo zimeongezeka.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka mapatano ya nyuklia ya Iran yalindwe

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka mapatano ya nyuklia ya Iran yalindwe

    Apr 26, 2018 03:24

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanapaswa kulindwa.

  • Zarif: Iran itafuata nyayo iwapo US itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia

    Zarif: Iran itafuata nyayo iwapo US itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia

    Apr 25, 2018 03:04

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuna uwezekano mkubwa Iran itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo Marekani itaamua kujivua kwenye mapatano hayo ya kimataifa ya mwaka 2015.

  • Shamkhani: Marekani na Ulaya zikivuka mstari mwekundu wa Iran zitagonga mwamba

    Shamkhani: Marekani na Ulaya zikivuka mstari mwekundu wa Iran zitagonga mwamba

    Apr 24, 2018 22:02

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran amesema kuwa, iwapo Ulaya itafanya makosa ya kistratijia na kusalimu amri mbele ya Marekani na kuvuka mistari mnyekundu ya Iran kwa shabaha ya kutaka kumridhisha Donald Trump, hapana shaka kuwa itakula mweleka na kushindwa.

  • Rais Rouhani aonya kuhusu taathira hasi iwapo JCPOA itakiukwa

    Rais Rouhani aonya kuhusu taathira hasi iwapo JCPOA itakiukwa

    Apr 24, 2018 12:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Vienna na kusisitiza kuwa, endapo Washington itajiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa kama inavyotishia, basi hatua hiyo itakuwa na matokeo mabaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS