Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jela

  • Zaidi ya raia elfu moja wa nchi za kigeni wapo katika jela za Saudi Arabia

    Zaidi ya raia elfu moja wa nchi za kigeni wapo katika jela za Saudi Arabia

    Jul 19, 2019 02:32

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kuwa raia wa nchi za nje zaidi ya elfu moja na hamsini wamefungwa katika jela za nchi hiyo kwa tuhuma zinazohusiana na masuala ya kiusalama.

  • Mwanamke mwenye saratani afia gerezani Imarati licha ya indhari ya UN

    Mwanamke mwenye saratani afia gerezani Imarati licha ya indhari ya UN

    May 05, 2019 14:19

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa, mwanamke aliyekuwa anaugua ugonjwa wa saratani amepoteza maisha akiwa gerezani katika Umoja wa Falme za Kiarabu, miezi miwili baada ya Umoja wa Mataifa kutoa mwito wa kuachiwa huru mwanamke huyo kwa misingi ya kwenda kupatiwa matibabu.

  • Aliyekuwa msaidizi wa Papa Francis afungwa kwa kulawiti watoto

    Aliyekuwa msaidizi wa Papa Francis afungwa kwa kulawiti watoto

    Mar 13, 2019 07:47

    Mahakama moja nchini Australia imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, aliyekuwa Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.

  • Wanawake 9 na viongozi wa upinzani wasukumwa jela Sudan

    Wanawake 9 na viongozi wa upinzani wasukumwa jela Sudan

    Mar 11, 2019 02:39

    Naibu Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Umma na binti ya kinara wa chama hicho ni miongoni mwa wanawake tisa wa upinzani waliohukumiwa kifungo jela kwa tuhuma za kukiuka sheria ya hali ya hatari nchini Sudan.

  • Mahakama ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain yaidhinisha adhabu kali dhidi ya raia kadhaa

    Mahakama ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain yaidhinisha adhabu kali dhidi ya raia kadhaa

    Mar 05, 2019 07:59

    Mahakama ya rufaa ya Bahrain imeidhinisha hukumu ya kifungo cha maisha jela na adhabu nyingine za vifungo vya muda mrefu kwa raia kadhaa wa nchi hiyo.

  • Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana

    Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana

    Feb 13, 2019 02:32

    Kamati ya Kimatiafa ya Haki za Binadamu Eneo la Asia Magharibi imesema hali ya haki za binadamu inazidi kuwa mbaya nchini Bahrain ambapo ukoo wa Aal Khalifa ambao unatawala nchi hiyo umehusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

  • EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    Jan 29, 2019 14:04

    Umoja wa Ulaya umekosoa vikali hatua ya Mahakama ya Juu ya Bahrain ya kuidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya shakshia mashuhuri wa kidini na kisiasa nchini humo, Sheikh Ali Salman.

  • Saudi Arabia; kituo cha wafungwa wa kiusalama katika ulimwengu wa Kiarabu

    Saudi Arabia; kituo cha wafungwa wa kiusalama katika ulimwengu wa Kiarabu

    Jan 13, 2019 07:22

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imetangaza kuwa nchi hiyo ina wafungwa wa kiusalama zaidi ya 5,400.

  • Mwanaharakati mwanamke aliyetoroka Saudia afichua utesaji unaofanywa kwenye jela za utawala wa Aal Saud

    Mwanaharakati mwanamke aliyetoroka Saudia afichua utesaji unaofanywa kwenye jela za utawala wa Aal Saud

    Dec 29, 2018 16:09

    Mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Aal Saud aliyetoroka Saudi Arabia na kuomba hifadhi ya ukimbizi nchini Uholanzi amefichua kuwa, maafisa wa utawala huo walimtesa, wakamtusi na kumweka kwenye mashinikizo ya kinafsi.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan apelekwa jela huku wafuasi wake wakipambana na askari usalama

    Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan apelekwa jela huku wafuasi wake wakipambana na askari usalama

    Dec 26, 2018 02:39

    Sambamba na Muhammad Nawaz Sharif, Waziri Mkuu aliyeuzuliwa wa Pakistan kupelekwa jela ya mji wa Lahore, wafuasi wake wamepambana na askari polisi na vikosi vya usalama katika mji mkuu wa nchi hiyo, Islamabad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS