-
Kijana mlemavu wa Kipalestina afungwa jela miaka 35 na Israel
Sep 13, 2018 03:27Mahakama moja ya utawala haramu wa Israel imemhukumu kifungo cha miaka 35 jela kijana mlemavu wa Kipalestina kwa madai ya kuwashambulia askari wawili wa utawala huo katili.
-
Msemaji wa shirika la UNRWA: Ghaza imekuwa jela kubwa
Jul 15, 2018 13:45Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA) amesema kuwa eneo la Ukanda wa Ghaza limegeuka na kuwa jela kubwa isiyo na uthabiti na kwamba wakazi wa eneo hilo hawana cha kupoteza.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan miaka 10 jela kwa ufisadi
Jul 06, 2018 14:25Mahakama ya Kupambana na Ufisadi ya Pakistan imempata na hatia ya ufisadi wa kifedha aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo pamoja na binti yake na kuwahukumu kifungo cha miaka 10 jela.
-
Wafungwa Waislamu Marekani wanyimwa chakula, walazimishwa kula nyama ya nguruwe
May 24, 2018 14:38Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limewasilisha faili la kesi mahakamani kuwashtaki maafisa wa Idara ya Magereza ya Alaska, kwa kuwanyima chakula wafungwa Waislamu mbali na kuwalazimisha kula nyama ya nguruwe katika mwezi huu wa Ramadhani.
-
UN: Makundi ya wabeba silaha yanawatesa na kuwaua wafungwa katika jela za Libya
Apr 11, 2018 04:36Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.
-
Wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya Israel
Mar 12, 2018 07:51Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Palestina ametangaza kuuwa, kwa sasa wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza mbalimbali ya utawala haramu wa Israel.
-
Israel imewateka nyara mamia ya watoto wa Kipalestina
Mar 02, 2018 07:48Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina PPS kimetangaza kuwa, mamia ya watoto wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel huku wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.
-
Nabeel Rajab ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela nchini Bahrain
Feb 22, 2018 04:29Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini Bahrain amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo.
-
Ethiopia yaendelea kuwaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa
Feb 09, 2018 14:18Mwanasheria Mkuu wa Ethiopia ametoa agizo la kuachiwa huru mamia ya wafungwa wa kisiasa, akiwemo mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo.
-
Malenga wanne Saudia wafungwa miaka 30 jela kwa kumkosoa Bin Salman
Feb 03, 2018 08:11Mahakama ya Saudia imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela wakosoaji wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.