-
Kiongozi Muadhamu: Tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia
Feb 08, 2018 15:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amyataja masiku ya Mwenyezi Mungu na minasaba ya matukio muhimu ya mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni ishara ya uimara na uthabiti wa mfumo, na kusisitiza kwamba, mwaka huu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia.
-
Amnesty: Makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria
Jan 30, 2018 16:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelituhumu jeshi la Nigeria kuwa limeua makumi ya raia katika mashambulizi ya anga ya mwezi uliopita jimboni Adamawa.
-
Iran yafanyia majaribio kombora la Cruise la Qadir la Jeshi la Majini
Jan 24, 2018 04:37Katika siku ya pilia ya mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio yaliyofana kombora la la Cruise lijulikanalo kwa jina la Qadir ambalo limelenga shabaha adui bandia katika Bahari ya Oman.
-
Iran yaanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW
Jan 22, 2018 03:05Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo linaanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5 katika maeneo ya oparesheni ya kusini na kusini mashariki na pia katika pwani ya Bahari ya Makran na Bahari ya Oman hadi Daraja 15 kaskazini mwa Ikweta.
-
Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali
Jan 05, 2018 08:01Mkuu wa majeshi ya Ivory Coast ametangaza utayari wa jeshi hilo wa kushirikiana na serikali ya nchi hiyo.
-
Kufanyiwa mabadiliko muundo wa jeshi la Jordan
Dec 29, 2017 07:44Mfalme Abdallahwa wa Pili wa Jordan amewastaafisha cheo cha ukamanda wa jeshi kaka zake wawili na binamu yake katika hatua ya aina yake kuwahi kuchukuliwa nchini humo.
-
Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 21, 2017 16:16Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia udharura wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba lengo la kuundwa jeshi hilo ni kurejesha haki za wananchi wa Palestina.
-
Marekani yaunda kundi jipya la waasi Syria
Dec 16, 2017 15:41Kituo cha Mapatano cha Russia nchini Syria kimetangaza kuwa, Marekani imeanzisha kundi jipya la waasi lililopewa jina la Jeshi Jipya la Syria katika kambi ya wakimbizi iliyoko mkoani Hasaka huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Amiri Jeshi Mkuu: Vikosi vya Majini viendeleze harakati yake ya mwendo wa kasi
Nov 28, 2017 16:47Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema tarehe 7 Azar (28 Novemba) ambayo ni siku ya Jeshi la Majini ni siku ya fahari na heshima, na siku ya kuenzi kujitolea mhanga kwa jeshi hilo.
-
Wanajeshi 10 wa Sudan wauawa katika mapigano huko Darfur
Nov 28, 2017 07:47Askari 10 akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa jeshi la Sudan wameuawa katika mapigano mapya yaliyozuka hivi karibuni katika jimbo la Darfur.