Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Jeshi la Majini la Iran lazima shambulizi la maharamia Ghuba ya Aden

    Jeshi la Majini la Iran lazima shambulizi la maharamia Ghuba ya Aden

    Nov 26, 2017 14:08

    Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanikiwa kuzima shambulizi la maharamia dhidi ya meli ya mizigo katika Ghuba ya Aden.

  • Wakuu wa Ulinzi Afrika Mashariki wakutana Uganda

    Wakuu wa Ulinzi Afrika Mashariki wakutana Uganda

    Nov 21, 2017 02:40

    Wataalamu wa masuala ya ulinzi kutoka nchi za Afrika Mashariki wanakutana nchini Uganda kujadili njia za kuimarisha amani na usalama kieneo.

  • Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli

    Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli

    Nov 16, 2017 16:10

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye kiongozi halali wa nchi hiyo.

  • Jeshi la Somalia lakomboa maeneo muhimu yaliyokuwa chini ya al-Shabaab

    Jeshi la Somalia lakomboa maeneo muhimu yaliyokuwa chini ya al-Shabaab

    Nov 05, 2017 15:06

    Vikosi vya jeshi la Somalia vimefanikiwa kukomboa ngome nyeti zilizokuwa chini ya makucha ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika maeneo ya Shabelle ya Chini na Kati.

  • Jeshi la Misri laangamiza wanachama 24 wa Daesh eneo la Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza wanachama 24 wa Daesh eneo la Sinai

    Oct 16, 2017 08:02

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuwaua wanachama 24 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa nchi.

  • UN yatoa ripoti ya kushtusha kuhusu jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu

    UN yatoa ripoti ya kushtusha kuhusu jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu

    Oct 12, 2017 03:39

    Ofisi ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imekiri kuwa jeshi la Myanmar limetenda jinai dhidi ya Waislamu Warohingya.

  • Mwanamitindo wa mavazi wa Sweden abuni Hijabu ya sare ya jeshi na kikosi cha zimamoto

    Mwanamitindo wa mavazi wa Sweden abuni Hijabu ya sare ya jeshi na kikosi cha zimamoto

    Oct 11, 2017 02:35

    Mwanamitindo mmoja wa mavazi nchini Sweden amebuni vazi la staha la Kiislamu la Hijabu linaloweza kutumiwa kama sare kwa askari wanawake wa jeshi na kikosi cha zimamoto cha nchi hiyo.

  • Komando wa nne wa Marekani auawa katika hujuma Niger

    Komando wa nne wa Marekani auawa katika hujuma Niger

    Oct 07, 2017 14:29

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imethibitisha kuuawa Komando wa nne wa jeshi la nchi hiyo katika hujuma ya kuvizia nchini Niger ambapo awali ilikuwa imetangazwa ni makomnando watatu waliouawa.

  • Makomando 3 Wamarekani wauawa nchini Niger

    Makomando 3 Wamarekani wauawa nchini Niger

    Oct 05, 2017 07:48

    Makomando watatu wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani wameuawa katika shambulizi la kuvizia nchini Niger wakiwa katika oparesheni ya kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo.

  • Jeshi la Iran liko tayari kukabiliana na adui yeyote

    Jeshi la Iran liko tayari kukabiliana na adui yeyote

    Sep 24, 2017 04:36

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi hilo liko tayari kukabiliana na chokochoko za adui yeyeote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS