-
Mwaka 2019, mwaka mbaya zaidi kwa haki za binaadamu nchini Bahrain
Jan 21, 2019 01:32Kamati ya watu waliotiwa mbaroni katika Ukanda wa Pwani nchini Bahrain imetangaza kwamba, katika jela ya Jau nchini Bahrain, maafisa usalama wa utawala wa Aal-Khalifa na katika kulipiza kisasi dhidi ya wafungwa wa kesi za uhuru wa kujieleza, wanatekeleza siasa za kuwatesa kwa njaa wafungwa hao.
-
Amnesty International yaitaka Uhispania isishirikiane na Saudi Arabia katika jinai zake nchini Yemen
Sep 18, 2018 03:58Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka serikali ya Uhispania iache kuiuzia silaha Saudi Arabia ili isitangazwe kuwa mmoja wa washirika wa utawala wa Aal Saud katika jinai za kivita huko nchini Yemen.
-
HRW: Serikali na wanaotaka kujitenga wamehusika na jinai Cameroon
Jul 21, 2018 01:18Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema jeshi la serikali na kundi linalotaka kujitenga eneo la watu wanaozungumza Kiingereza Cameroon wamehusika katika mauaji na jinai nyingine za kutisha nchini humo.
-
Kwa mara ya pili mfululizo, Saudia yawekwa kwenye orodha nyeusi ya nchi zinazokiuka haki za watoto duniani
Jul 05, 2018 02:41Kamanda wa muungano wa wavamizi wa Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia amekanusha ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inayosisitiza kuwa muungano huo unaua watoto wadogo wa Yemen.
-
Ansarullah: Umoja wa Mataifa unahalalisha uvamizi wa Saudia na waitifaki wake Yemen
Jun 17, 2018 01:32Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imetangaza kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo hajafanya lolote la maana na anafanya juhudi za kuhalalisha uvamizi wa Yemen. Taarifa ya harakati hiyo imesisitiza kuwa, utendaji wa mwakilishi wa sasa wa Katibu Mkuu wa UN nchini Yemen hautofautiani na ule wa mwakilishi wa kabla yake.
-
Saudia yaendelea kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Yemen
Jun 15, 2018 06:50Ndege za kivita za Saudi Arabia zimelishambulia eneo la Khadhrawan katika mkoa wa Sa'ada kwa kutumia mabomu ya vishada yaliyopigwa marufuku kimataifa.
-
Mohammad bin Salman; baina ya kulewa madaraka na jinamizi la kuhukumiwa kwa jinai zake
Jan 21, 2018 13:27Msemaji wa shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lianze kumfuatilia kisheria na kumchukulia hatua Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa Saudia kutokana na jinai za kivita anazozitenda nchini Yemen
-
Kushtadi mauaji ya Saudi Arabia ikishirikiana na Marekani dhidi ya wananchi wa Yemen
Dec 30, 2017 08:09Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amekosoa vikali kuendelea kuuawa kiholela raia katika nchi hiyo, mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Kuuawa watoto; mhimili wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen
Dec 27, 2017 02:41Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeashiria maafa makubwa ya vita vya Saudi Arabia dhidi ya Yemen na kuipa hujuma hiyo ya kijeshi ya Aal Saud jina la "Vita Dhidi ya Watoto".
-
Amnesty yailaani UN kwa kujaribu kudunisha jinai za Saudia nchini Yemen
Oct 08, 2017 02:41Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeulaani Umoja wa Mataifa kwa kujaribu kudunisha jinai za muungano wa Saudi Arabia dhidi ya watoto wa Yemen katika vita dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.