-
Uchaguzi Mkuu DRC katikati ya changamoto za kiusalama na mivutano ya kisiasa
Dec 30, 2018 13:40Uchaguzi Mkuu wa Rais na Bunge wa Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo umefanyika leo Jumapili Disemba 30, 2018 huku mvua kali ikinyesha. Uchaguzi huo umefanyika chini ya changamoto nyingi za kiusalama na kisiasa.
-
Uchaguzi wa rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu waanza Kongo
Dec 30, 2018 08:06Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong leo Jumapili wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu nchini humo. Uchaguzi huo wa leo huwenda ukawa wa kwanza wa kukabidhiana madaraka kwa njia ya kidemokrasia katika nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko.
-
EU kuwarejeshea vikwazo maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Oct 31, 2018 15:51Umoja wa Ulaya unajiandaa kuwarejeshea vikwazo maafisa wa ngazi ya juu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo akiwemo mgombea wa kiti cha urais Emmanuel Ramazani Shadary ifikapo mwezi Disemba mwaka huu.
-
Mkutano wa kwanza mkubwa wa hadhara wa waungaji mkono wa serikali wafanyika DRC
Oct 28, 2018 16:07Makumi ya maelfu ya wafuasi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki kwenye mkutano wa kwanza mkubwa wa hadhara wa muungano wa vyama tawala ili kusikiliza hotuba za mgombea wao katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu.
-
Rais Kabila amteua mkuu mpya wa majeshi anayekabiliwa na vikwazo vya US na EU
Jul 16, 2018 03:25Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua mkuu mpya wa vikosi vya ulinzi ambaye amewekewa vikwazo vya kimataifa kwa kosa la kuwakandamiza vikali raia na kukiuka haki za binadamu nchini humo.
-
Kabila afuta gwaride la maadhimisho ya uhuru DRC kutokana na uasi jeshini
Jul 01, 2018 01:44Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alifuta gwaride la jeshi katika maadhimisho ya mwaka wa 58 wa uhuru kutokana na kuwepo tetesi za uasi jeshini.
-
Bunge la DRC kujadili sheria ya kuwalinda marais wa zamani
Jun 17, 2018 07:12Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo litakutana katika kikao maalumu, kufuatia ombi la Rais Joseph Kabila, kwa lengo la kujadili sheria ya kuwapa kinga ya kisheria marais wa zamani wa nchi hiyo.
-
Waasi washambulia nyumba ya Rais Kabila, waua askari mmoja Congo DR
Mar 30, 2018 04:11Waasi wa kundi la Mai Mai wameshambulia nyumba ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo karibu na mji wa Beni huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuua askari mmoja.
-
Botswana yamtaka Kabila Ang'atuke madarakani Congo
Feb 27, 2018 06:42Botswana imemtaka Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ang'atuke madarakani.
-
Rais wa DRC akanusha kufanywa ukatili dhidi ya waandamanaji, abaki kimya kuhusu tarehe ya uchaguzi
Jan 27, 2018 16:55Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekanusha madai kuwa askari usalama wa serikali yake walitumia nguvu na ukandamizaji kuzima maandamano ya kupigania demokrasia yaliyochochewa na uamuzi wake wa kung'ang'ania kubaki madarakani baada ya muhula wake wa uongozi kumalizika.