-
Kabila: Congo DR inaelekea kwenye uchaguzi wa wazi na wa amani
Sep 23, 2017 15:59Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi wa kuaminika, wa wazi na wa amani.
-
Rais Kabila wa DRC na familia yake wana utajiri wa mamilioni ya dola
Jul 20, 2017 14:14Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na familia yake wanamiliki hisa katika mashirika 80 nchini humo na maeneo mengine ya dunia na utajiri wake unakadiriwa kuwa makumi ya mamilioni ya dola.
-
Waziri wa Afya: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo haina tena Ebola
Jul 02, 2017 04:32Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kumalizika kwa maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola nchini humo.
-
Hali tete Kinshasa, Kabila akosa kuhutubia, gwaride la kijeshi lafutwa, wafungwa watoroka
Jun 30, 2017 14:23Hali inaripotiwa kuwa tete huko Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya Rais Kabila kukosa kutoa hotuba yake ya kila mwaka kabla ya leo Juni 30 ambayo ni siku ya uhuru wa nchi hiyo.
-
Makundi ya kisiasa Kongo yafikia muafaka wa kuhitimisha mgogoro nchini humo
Dec 31, 2016 13:01Imetangazwa kuwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo atang'atuka madarakani kabla ya kufanyika uchaguzi ujao hiyo ikiwa ni baada ya kufikiwa muafaka wa kisiasa kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Wapinzani DRC wasema mazungumzo yanalegalega
Dec 30, 2016 16:07Wapinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema mazungumzo ya namna Rais Joseph Kabila atakavyoondoka madarakani yanalegalega na yamkini yakasambaratika.
-
Mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa DRC yanaendelea
Dec 24, 2016 15:11Mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yameendelea huku wapinzani wakiendelea kushikilia msimamo wao wa kuondoka madarakani Rais Joseph Kabila.
-
Hali ya kulegalega kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Dec 21, 2016 13:22Sambamba na kumalizika muhula wa kisheria wa uongozi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mji mkuu Kinshasa na miji mingine ya nchi hiyo imeshuhudia taswira ya kuimarisha usalama karibu katika kila kona.
-
Kambi ya upinzani Congo yawataka wananchi kupinga utawala wa Kabila
Dec 20, 2016 14:58Kambi kuu ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewataka wananchi kutomtambua tena Joseph Kabila kama rais wa nchi hiyo na imewahimiza kuonesha upinzani wao dhidi ya Kabila kwa njia ya amani.
-
AI: Serikali ya Congo inawakandamiza wapinzani
Sep 15, 2016 16:31Shirika la Msamahama Duniani (Amnesty International) limewatuhumu viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwa wanawakandamiza wapinzani.