-
Kuondoka Marekani katika eneo, sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Soleimani
Jan 01, 2022 03:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kufungasha virago na kuondoka vikosi vya jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi ni sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Oct 18, 2021 11:26Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na kuwaadhibu wale wote waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Ghalibaf: Damu ya Shahid Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawamaa
May 11, 2021 07:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, damu ya Shahid Qassem Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawama katika kona mbalimbali za dunia.
-
Raisi: Shahidi Soleimani, chimbuko la ushindi mkabala wa maadui
May 04, 2021 01:34Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa chanzo cha ushindi mtawalia dhidi ya maadui.
-
Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani
Apr 03, 2021 09:43Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema faili la mauaji ya kigaidi ya Shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) linafuatiliwa na kamati ya pamoja ya Iran na Iraq.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 04:41Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Iran italipiza kisasi cha kuuawa shahidi Jenerali Suleimani
Jan 03, 2021 08:10Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa, hakuna chembe ya shaka kuwa Jamhuri ya Kiislamu italipiza kisasi cha kuuawa kigaidi Shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Meja Jenerali Salami: Iran itatoa jibu kali kwa kitendo chochote cha adui
Jan 02, 2021 13:12Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema: "Sisi tutajibu kitendo chochote cha adui kwa pigo kali".
-
Kamanda Soleimani, shujaa wa dunia katika vita dhidi ya ugaidi
Jan 02, 2021 07:26Leo Jumamosi, tarehe pili Januari 2021 inayosadifiana na tarehe 13 Dei 1399 mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, inasadifiana na mwaka mmoja tangu alipouawa shahidi na kidhulma, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Jenerali Baqeri: Kisasi kikali kwa wauaji wa Shahidi Suleimani muda wake hauishi
Jan 01, 2021 04:17Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kisasi cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC kitakuwa kikali na wala hakina muda wa kumalizika.