-
Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways kuanza mgomo kesho Jumamosi
Nov 04, 2022 11:22Marubani wa Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, wanatarajiwa kuanza mgomo kesho kutilia mkazo madai yao ya mazingira bora ya kazi, licha ya mahakama ya nchi hiyo kuamuru mgomo huo usitishwe.
-
Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC
Nov 03, 2022 02:30Rais William Ruto wa Kenya ametangaza habari ya kutumwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kwenda kukabiliana na magenge ya wanamgambo likiwemo kundi la waasi la M23.
-
Maisha ya Wakenya milioni nne na laki tatu yako hatarini kutokana na baa la njaa
Oct 08, 2022 07:19Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua za kutosha unahatarisha maisha ya mamilioni ya raia katika eneo la Pembe ya Afrika wakati mashirika ya kutoa misaada yanaendelea kuihimiza jamii ya kimataifa iwasaidie raia wanaoendelea kutaabika kutokana na baa la njaa.
-
Ajali zaua watu 145 nchini Kenya ndani ya wiki moja
Oct 01, 2022 06:08Watu wasiopungua 145 wamepoteza maisha katika matukio tofauti ya ajali za barabarani nchini Kenya ndani ya siku saba zilizopita.
-
Kenya yazidisha hatua za kufuatilia kesi za Ebola katika mpaka wake na Uganda
Sep 29, 2022 08:02Maafisa wa Afya katika mji wa Busia wamezidisha jitihada za kuwapima na kufuatilia kesi za maambukizi ya ugonjwa wa Ebola ikiwa ni katika juhudi za kuzuia msambao wa virusi vya ugonjwa huo katika maeneo ya mpakani.
-
William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya
Sep 13, 2022 11:29William Samoei Ruto ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF).
-
Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto
Sep 05, 2022 11:22Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022.
-
Usalama waimarishwa Kenya, wananchi wanasubiri uamuzi wa Mahakama ya Juu kuhusu kura za uchaguzi wa Septemba 9
Sep 05, 2022 07:11Usalama umeirishwa katika maeneo mbalimbali ya Kenya hususan katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi, huku Wakenya wakisubiri kwa hamu na ghamu uamuzi unaotarajiwa kutolewa leo na Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kuhusu shauri lililowasilishwa mahakamani na mgombea urais wa chama cha Muungano wa Azimio la Umoja wa One Kenya, Raila Odinga akipinga matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika tarehe 9 mwezi uliopita.
-
Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais
Aug 29, 2022 11:11Wanachama wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika wamewasili jijini Nairobi, kufuatilia shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) hivi karibuni.
-
Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni
Aug 24, 2022 10:55Kundi la raia wa Kenya limeifungulia mashitaka serikali ya Uingereza katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya, likitaka iwajibishwe kwa jinai ilizotenda dhidi ya wananchi wa Kenya enzi za ukoloni.