Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Rais wa Kenya aamuru kusitishwa harakati zote Nairobi, Mombasa na kaunti kadhaa kwa hofu ya corona

    Rais wa Kenya aamuru kusitishwa harakati zote Nairobi, Mombasa na kaunti kadhaa kwa hofu ya corona

    Apr 06, 2020 11:54

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua mpya zinazolenga kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, ambao hadi sasa umewapata watu 158 na kuchukua roho za wagonjwa sita.

  • Kenya, Somalia zawaachilia huru wafungwa ili kuzuia kuenea corona

    Kenya, Somalia zawaachilia huru wafungwa ili kuzuia kuenea corona

    Apr 03, 2020 02:22

    Kenya na Somalia zimetangaza kuwaachilia huru wafungwa wa makosa madogo madogo ikiwa ni katika jitihada za kupunguza msongamano katika magereza katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19.

  • Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

    Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

    Mar 30, 2020 03:49

    Wizara ya afya ya Kenya imeanza kufanya upimaji wa ugonjwa wa COVID-19 au corona kwa watu wote walioingia nchini humo wiki iliyopita na wale waliowekwa karantini kwenye vituo vya serikali au hoteli zilizoteuliwa.

  • Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda

    Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda

    Mar 27, 2020 11:03

    Janga la ugonjwa wa COVID19 na virusi vya corona linaloisumbua dunia limeendelea kulinyemea kwa kasi kubwa bara la Afrika baada ya Rwanda kuripoti maambukizi mapya 9 ya virusi hivyo.

  • Kesi za corona Afrika Kusini zapindukia 1,000, vifo vya kwanza vyaripotiwa nchini humo na Kenya

    Kesi za corona Afrika Kusini zapindukia 1,000, vifo vya kwanza vyaripotiwa nchini humo na Kenya

    Mar 27, 2020 03:43

    Idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona nchini Afrika Kusini imeongezeka na kupindukia watu 1000.

  • Kenya ni  taifa lenye furaha zaidi Afrika Mashariki

    Kenya ni taifa lenye furaha zaidi Afrika Mashariki

    Mar 22, 2020 08:49

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu furaha duniani imeitaja Kenya kuwa nchi yenye furaha zaidi katika eneo la mashariki ya Afrika.

  • Kadhi Mkuu wa Kenya awakosoa wanaopuuza agizo la kutoenda misikitini

    Kadhi Mkuu wa Kenya awakosoa wanaopuuza agizo la kutoenda misikitini

    Mar 21, 2020 22:08

    Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Ahmed Muhdhar amekosoa vikali hatua ya baadhi ya waumini wa Kiislamu ya kupuuza agizo la kuwataka wasiende misikitini kwa ajili ya Swala za jamaa katika kipindi hiki cha kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na kirusi cha Corona.

  • Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona

    Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona

    Mar 20, 2020 08:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Kenya, Nigeria na Bulgaria juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona unaoendelea kuzisumbua nchi mbali mbali duniani.

  • Corona yaingia Rwanda, virusi hivyo vyasababisha shule kufungwa Kenya

    Corona yaingia Rwanda, virusi hivyo vyasababisha shule kufungwa Kenya

    Mar 15, 2020 12:14

    Serikali ya Rwanda imethibitisha kuwa na mgonjwa mmoja aliyeambukizwa virusi vya Corona, huku ugonjwa huo ukiendelea kuenea kwa kasi katika nchi za Afrika na kote duniani kwa ujumla.

  • Rais wa Kenya afuta safari ya Italia kutokana na hofu ya corona

    Rais wa Kenya afuta safari ya Italia kutokana na hofu ya corona

    Mar 15, 2020 07:58

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefuta safari yake ya Italia kufuatia hofu ya ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona. Baada ya China, Italia sasa ndio nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa na kufariki kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS