-
Nusu ya Makamishna wa Tume ya uchaguzi Kenya wajiuzulu
Apr 16, 2018 03:34Mgogoro ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya IEBC unaendelea kutokota huku nusu ya makamishna wa tume hiyo wakitangaza kujiuzulu.
-
Hatimaye Miguna Miguna arejeshwa nchini Canada, amlaumu Raila Odinga kwa kumsaliti
Apr 02, 2018 10:46Mwanasheria wa upinzani nchini Kenya aliyemuapisha Kinara wa Muungano wa Upinzani (NASA), Raila Odinga kuwa rais wa watu, Miguna Miguna amesafirishwa kwa ndege kutoka mjini Dubai, hadi Toronto, Canada.
-
Ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Kenya na Somalia wasimamishwa
Mar 30, 2018 10:38Shughuli ya kujenga ukuta wa kilomita 700 katika mpaka wa Kenya na Somalia imesimamishwa kwa muda, ili kutoa nafasi ya kufanyika mashauriano zaidi kati ya nchi mbili hizo jirani.
-
Mahakama Kuu Kenya yaijia juu serikali kwa kukiuka amri ya kuhusiana na Miguna Miguna
Mar 29, 2018 04:30Mahakama Kuu nchini Kenya imekasirishwa mno na kitendo kilichofanywa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo cha kumsafirisha mwanasheria wa upinzani, Miguna Miguna kutoka mjini Nairobi hadi Dubai bila yay eye kujijua, licha ya kwamba awali mahakama hiyo ilikuwa imeruhusu mtu huyo kuruhusiwa kuingia nchi hiyo.
-
Miguna Miguna asafirishwa bila kujijua kutoka Kenya, ajikuta Dubai ghafla
Mar 29, 2018 03:40Mwanasheria wa upinzani nchini Kenya na aliyeongoza shughuli ya kuapishwa kwa Kianara wa Muungano wa Upinzani (Nasa), Rais Odinga kuwa rais wa watu, Miguna Miguna amesafirishwa kwa ndege hadi mjini Dubai, bila kujitambua.
-
UNHCR: Waethiopia waliokimbilia hifadhi Kenya wakumbwa na masaibu
Mar 29, 2018 02:01Maelfu ya wakimbizi wa Ethiopia waliokimbilia hifadhi nchi jirani ya Kenya hivi sasa wanakabiliwa na tatizo kubwa la kukidhi mahitaji yao ya msingi, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR.
-
Waandishi wa habari Kenya wajiuzulu kwa mpigo kulalamikia ukatili waliotendewa wenzao na Polisi
Mar 27, 2018 12:38Waandishi kadhaa waandamizi wa makala maalumu za habari nchini Kenya wamejiuzulu kwa mpigo leo siku moja baada ya polisi kuwashambulia kwa ngumi na mateke waandishi wa habari waliokuwa wakipiga picha na kurekodi filamu za tukio la kufukuzwa kwa nguvu nchini humo mwanasiasa mmoja wa upinzani katika uwanja wa ndege jijini Nairobi.
-
Raila Odinga kuushitaki mtandao wa Facebook na Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake kuchochea ghasia
Mar 27, 2018 12:26Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema kuwa, ataushtaki mtandao wa kijamii wa Facebook pamoja na kampuni ya Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake katika kuendesha kampeni ya uchochezi na uhasama wa kikabila kwa ajili ya kuhujumu malengo yake ya kuwa rais wa Kenya hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2017.
-
Mwanasheria mkuu mteule Kenya, Kihara Kariuki, ajitetea bungeni
Mar 22, 2018 11:22Paul Kihara Kariuki aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya Mwanasheria Mkuu nchini Kenya leo amefika bungeni na kujitetea akiahidi kulinda Katiba na Sheria za nchi na kuishauri serikali vilivyo, bila kushawishiwa kisiasa ama kwa njia nyingine yoyote.
-
Muungano wa Makanisa Kenya: Asilimia kubwa ya Wakristo ni wachawi na washirikina
Mar 20, 2018 04:41Muungano wa makanisa nchini Kenya umetangaza kuwa, uchawi na ushirikina umekumbatiwa zaidi na Wakenya, kuliko wanavyomuamini Mungu.