-
Tarehe ya uchaguzi wa marudio Kenya yasogezwa mbele
Sep 22, 2017 04:22Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imebadilisha tarehe ya kufanyika uchaguzi wa marudio wa urais hadi Oktoba 26 mwaka huu na wala sio Oktoba 17 kama ilivyotangaza hapo awali.
-
Rais wa Kenya: Hukumu ya Mahakama ya Juu ilikuwa ni "mapinduzi"
Sep 21, 2017 11:15Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema Mahakama ya Juu ya nchi hiyo ilifanya "mapinduzi" dhidi ya matakwa ya wananchi ilipobatilisha matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita ambao yeye alishinda.
-
Mahakama ya Juu Kenya yatoa ufafanuzi wa kubatilisha uchaguzi wa urais
Sep 20, 2017 09:47Mahakama ya Juu nchini Kenya imesema haijuti kuchukua uamuzi wa kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 8 mwaka huu, huku ikiilaumu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kwa kuendesha zoezi hilo kinyume cha sheria.
-
Jaji Mkuu wa Kenya amtuhumu Mkuu wa Polisi kwa kupuuzia usalama wa majaji
Sep 19, 2017 23:54Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhumu Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji na kwamba anahatarisha maisha yao.
-
Wafuasi wa Jubilee waandamana Kenya kupinga uamuzi wa Mahakama
Sep 19, 2017 11:23Polisi nchini Kenya wamelazimika kutumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha Jubilee cha Rais Uhuru Kenyatta ambao walikuwa wakiandamana nje ya Mahakama ya Kilele mjini Nairobi wakipinga uamuzi wa mahakama hiyo kubatilisha uchaguzi wa rais wa Agosti 8.
-
Hatma ya kufanyika uchaguzi wa rais Kenya katika tarehe iliyopangwa bado haijajulikana hadi sasa
Sep 18, 2017 03:38Duru za habari za Magharibi zimeripoti kuwepo suitafahamu kuhusiana na tarehe ya kufanyika uchaguzi wa rais wa marudio nchini Kenya.
-
Rais Kenyatta: Nilihisi uchungu sana kwa hatua ya mahakama kufuta ushindi wangu
Sep 14, 2017 00:17Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa, alihisi uchungu mwingi baada ya Mahkama ya Kilele nchini humo kufuta ushindi wake katika uchaguzi uliopita wa tarehe Nane Agosti mwaka huu.
-
Polisi ya Kenya yatumia gesi ya kutoa machozi baada ya wanawake kuvamiwa mkutanoni
Sep 13, 2017 10:29Polisi nchini Kenya katika mji wa Kisumu magharibi mwa nchi hiyo leo wamenyunyiza angani gesi ya kutoa macho na kufyatua risasi ili kuwatawanya vijana wa kiume waliovamia hoteli moja na kuanza kuwapiga wanawake waliokuwa wakihudhuria mkutano wa uchaguzi mjini humo.
-
Tanzania na Kenya kufanya mazungumzo ya biashara Novemba
Sep 13, 2017 03:20Kenya na Tanzania zitafanya mazungumzo mwezi Novemba ili kuimarisha biashara kati ya pande hizo mbili.
-
Jeshi la Somalia lakomboa eneo la mpakani kutoka kwa al Shabab
Sep 12, 2017 22:02Jeshi al Somalia limefanikiwa kukomboa eneo la mpaka wa nchi hiyo na Kenya lililokuwa limetekwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al Shabab.